Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na...
KUONDOA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA NA KWAPA
Leo wapendwa nataka kuongelea jambo ambalo linasumbua sana wanawake sio kwamba wanaume wao hawana bali hawalichukulii kiundani sana kama sisi wanawake...
Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia
Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na...
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women
1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. South Africa
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Congo
10...
Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili...
Kichwa cha uzi kinajieleza.
Huu mtindo wa wanawake hasa wanaoishi mjini wa kuvaa nguo/sketi fupi zinazoishia magotini au juu ya magoti halafu wakiwa wanatembea utawaona wanajishika shika hiyo...
Wakuu.
Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi.
Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata...
Habari wadau,
Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa...
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu.
Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali
Je, perfume ipi ambayo imepoa...
Kujisitiri vema ni jambo la muhimu sana kwa wanaume, lakini pia zaidi sana kwa wanawake, ikiwa ni kwenye mihangaiko au safarini. Kujiandaa na dharura walau na kanga kwenye mkoba ni jambo la maana...
Kuishi maisha yenye mafanikio na furaha kunahitaji mkakati na maamuzi sahihi kulingana na umri wako na wakati sahihi. Hapa kuna mwongozo wa kujenga maisha mazuri kwa kuzingatia umri wako:
Katika...
Habari ndugu jamaa na marafiki.
Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo...
Bila kupoteza muda, habarini wana JF.
Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.