Wakuu Kwema!...
Tatizo la sisi wanaume wengi tunajishusha na kujidharau wenyewe mwisho kukosa dira ya mwanamke unayemtaka. point yangu hapa ni unadhifu na umaridadi wa akili na hata mwonekano...
Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread).
Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa...
Wakuu nimekuwa miongoni mwa mhanga wa matumizi mabaya ya unyunyu ni zaidi ya addicted kama mtu anaetumia mihadarati Ngumu mm kuacha kabisa cost me pesa nyingi kununua Kila kukicha hata kama...
Teenagers wengi bado ni wanafunzi wanahitaji sehemu ya kujisomea wakiwa nyumbani. Ni muhimu kuanza kumfundisha kusafisha na kupanga chumba chake kila mara hasa weekend. Haya ndiyo maandalizi ya...
JINSI YA KUIFANYA NGOZI YAKO KUWA CHANGA NA KUPUNGUZA KUZEEKA
KUZEEKA KWA NGOZI NA JINSI YA KUPUNGUZA KUZEEKA
Kuzeeka ni utaratibu wa kawaida kwa mwili wa binadamu. Na hutokea kila siku kwa...
Huwa napenda Sana ziwe ndefu, but zikianza kuota kidogo tu zinawashaa I have to cut them.in my tribe long pubic hair is a symbol of fertility and long life
I want to keep my pubic hair long...
Yamkini mko salama kabisa wanabodi hapa
Kwa kawaida mapambo yote ya urembo kwa upande wa mwanamke faida yake kuu ni kujiona amependeza yeye mwenyewe kwanza, na kwa upande wa sisi wanaume ni...
Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani?
======
Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa...
Habari zenu wandugu, niko mwanza nimejaribu kutafuta hii suppliment sijaipata labda Kuna mtu anaifahamu ilipo anisaidie Ni bei gani na kwa ujazo upi. Nina prefer kampuni ya Optimum Nutrition.
Any...
Hallo Waungwana.
Kwa wale wapenzi wa Colognes, linapokuja jina la Creed Aventus kila Mtu ananyosha mikono juu: namna hii cologne inavyosifika na kupendwa duniani kote. Wengi husema Creed Aventus...
Habari wadau..
Kiukweli mimi ni mkristo..
Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii
Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana..
Unamkuta mdada...
Rejea kichwa Hapo juu..,
Samahani wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package...
Unajua toka nimefungua magroup na pia kujiingiza kwenye hizi cosmetics hususani biashara, nimekuwa nikifiatwa na watu wakiulizia hayo mafuta matatu.
1. Perfect white
2. Dodo cream
3. Clinical...
Dear warembo wangu,
I hope you all had a great day, If not poleni.
Napenda sana urembo ukiwemo kunukia vizuri, usafi na pia kuwa na muonekano angalau presentable but above all napenda sana...
Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi.
Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo.
Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa...