Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu !
Wanaume mpo ?
Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania.
Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na...
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa.
Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya...
Habari wadau,poleni na msiba.
Nauliza wazoefu wa kubadili shirt la rangi nyeupe kuwa la rangi ya blue,mnatumia ile blue powder ya kipindi kile? Na je nguo itaendelea kung'ara kama awali ikiwa...
Mavazi mengi tumeiga.
Suti,sketi na brouzi, suruali, kaptula hata Nguo za ndani.
Kanzu,hijabu etc zote ni imported styles.
Hili vazi LA dera sijui dela asili yake ni wapi.
Nimefuatilia sioni...
Habari wadau wa JF,
Nimekuwa nikifanya utafiti mdogo wa wanaume wengi wanaojihusisha na ubunifu wa mavazi duniani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja lakini nikashindwa kupata majibu yaliyo...
Dunia imeenda kasi sana yaani viskirt tight leo hii imekuwa Ni fashion?si nguo za ndani hizi mnavaa mpaka mjini barabarani hamna aibu msichokijua Ni kuwa wanaume tunapenda wanawake wanaojisitiri...
Usafi na mpangilio mzuri wa vitu vya ndani huenda pamoja. Huwezi kuwa msafi lakini ushindwe kupanga vitu vyako vizuri. Wana saikologia husema mpangilio mzuri wa vitu husaidia akili kutulia...
Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea...
Unakuta mdada mzuri wa sura anavutia usoni ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia.
Wengine hata hawajazaa bado lakini tumbo lishaanza kuvutwa na gravitational force, hivi hizi bia...
Hawa mabwana wametuinua sana. Dada zetu sikuhizi wanapiga mizinga ya kununuliwa Mossimo, na sio viatu vya bei kubwa
Kwa trend ya sasa, Wanawake nadhani nusu yao hapa Tanzania wanavaa Mosimo
Na...
Hamjamboni,
kwa kweli kwa moyo mweupe naomba sana nikushukuru mwana JF Evelyn Salt. katika thread moja ya lotion ipi nzuri isiyochubua.
kuna sehemu ulicomment kuhusu kutumia mafuta ya mawese na...
Mimi ni kijana 26 likizo hii nimeishi na mwanafunzi wangu ,tatizo linakuj uyu dogo kaja na chawa nimewakuta kwenye nguo zake mi siku zote napenda sana usafi asa kuna chawa wamejenga kibanda kwenye...