wakuu kwema?
Binafsi niko safarini kuelekea mkoani katika harakati za kutafuta grisi ya kulainisha ugumu wa maisha.
Hii safari yangu imekuwa mbaya sana kuliko safari zote nilizo wahi kusafiri...
Salaam Wakuu,
Mimi napenda kuvaa Socks, lakini tatizo kubwa ni kupata socks zinazofanana.
Ikifika asubuhi mimi navaa Socks iliyokaribu muhimu iwe safi. Sababu hamna kazi ngumu kama kutafuta...
Habari!
Kila kukicha kuna jambo jipya mengine ya kustaajabisha na mengine yakuuzunisha katika jamii.
Wimbi kuwa la vijana wetu wa kiume wamekuwa wakijisahau kupita kiasi sababu jamii kwa sasa...
Samahani wadau napenda kufaham kuhusu hii huduma ya Waxing.
1. Inatolewaje na utolewa na akina nani?
2. Mfno ukifanya waxing ya kwapa au kule kwa bibi nywele/,vinyweleo uota baada ya muda gani...
nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya
magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana
je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu...
Habari!
Wanawake sasa naona mnajisahau sana kwenye swala zima la kutunza miili yenu.
Msishtuke nitaongelea kitu kidogo tu, wanawake upande wa kuwa na matumbo/Vitambi ambayo yanaleta shida moja...
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa...
Nani anasemasema kuhusu wanaume wa Dar, basi sahau hiyo kitu kuanzia leo anza kusema wanawake wa Dar. Yaani hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 10 nyie wanawake wa Dar hivi vitu havivumiliki.
Wigi...
Pamekua na wimbi kubwa la vijana haswa tulio katika muda wa kuchagua yupi wa kufunga nae pingu za maisha, kuhofia wanawake wanao weka style fulani fulani kwamba hawajatulia au wakorofi nk...
Fallyjan22
https://t.co/JuD4g8Pc3J
https://t.co/2ptRbW2Q6f
1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na...
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out...
Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi.
Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira...
Wana jf salaam,
Miaka kadhaa iliyopita wavaaji wa jeans walionekana ni vijana wa kihuni ,lakini miaka ya karibuni vali hili limezijolea wavaaji wapya wenye heshima zao, licha ya kuwa kwa Tanzania...
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.
Shida ni nini hasa?
Hello wanajf Leo nilikuwa kijiji msanga kwenye shughuli aisee nikapata kushangaa dukani nakuta pempas wanauza moja moja nikamuuliza muuzaji je zinatoka akasema mnoo watu awawezi kwa wingi...
Napenda kua modo hatua gani nipitia ili niweze kufika kwenye ndoto yangu au kama kunamtu anaweza kunichukua kuweza kuvaa na kupiga picha kupost mitindo yake Niko tayari mvuta ninao mwili wakuvaa nao
First and Foremost, every woman who is alive today has her unique quality of making herself look absolutely stunning. And the fact of the matter is that, it doesn't not matter how much a budget a...