Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu. Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi...
19 Reactions
88 Replies
12K Views
Hawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida. Sasa tatizo unakutana na msichana...
6 Reactions
84 Replies
15K Views
Kwa arusha mjini naweza pata wapi unga wa multan mitti?
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Mara kadhaa ukipanda Ndege za Shirika fulani (jina kapuni) unakuta Ma-Air Hostess ngozi zao ama zimekakamaa kama mamba au rangi zaidi ya moja kutokana na mkorogo. Tujifunze angalau hata kwa wenzetu.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mzuka wanaJF! Yani gauni tu gharama yake ni zaidi ya kiwanja, zaidi ya IST ada za shule za watoto kadhaa. Wote tu tutarudi mavumbini. It's fundamentally wrong and totally unacceptable to spend...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Wakuu, Mtindo wa maisha unabadilika kwa kasi sana,Mojawapo ya mitindo ni wanawake kuvaa saa za kiume mkononi. Je unadhani mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya Kike au ya kiume? na ipi...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Nilikuwa nimesiti zangu sehemu fulani hapa katikati ya jiji. Pembeni yangu kulikuwa na majamaa wawili walikuwa wamekaa pia sasa mmoja nikasikia anamuuliza mwenzake kwamba "vipi mbona unavaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ona kitu kama hii ilivyosimama. Au anaagiza kutoka Saudi Arabia Straight? Sio kwa viwango hivi.
8 Reactions
36 Replies
7K Views
Sijawahi kuona brick-and-mortar store yoyote hapa Dar na Tanzania kwa ujumla, ya luxury brand yoyote ile. Lakini huku mitaani utaona watu wamenyuka pamba za Moschino, kapelo za Gucci, mikanda ya...
3 Reactions
83 Replies
15K Views
Huu ndio ukweli wangu toka nizaliwe sijawahi kuonamwanamke ananuka miguu au soksi je nikwasababu wanawake ni wasafi? Au ni kwasababu hawavai Soksi mostly ni open shoes?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye dawa au ushauri nitumie kitu gani niwe na ngozi laini isiwe nyeusi maana nilikuwa na chunusi[emoji12]
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Ni mchumba bado sijamuoa sasa basi, kuna sherehe tumealikwa inabidi niende naye sasa ananilazimisha nivae sare na yeye. anishonea shati la kitenge Sasa wadau hii ishu siielewi nimekataa kanuna...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Hello! everyone, wapi naweza pata hii spray kwa hapa Dar? kama kuna mtu anafahamu location naweza pata hii kitu, itakua poa sana, thanks [emoji4]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza. Kuna mafuta ya nywele ni meusi kama kiwi, ukiyapaka nywele zinakolea weusi, na ukiziosha zinarudi kwenye hali yake. Yanaitwaje hayo mafuta?
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Mimi naona kuna watu wanapaka makeup mpaka nashangaaa...Yaaani nawaza hichi kitu gani? Au labda ni macho yangu tu...Yaaani unakuta mtu kapaka makeup badala ya kuehance beuty inakuwa tofauti...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Scroll any social media you want for a minute and you will likely to come across a bu$t enlargement creams or pills for sale. While most if not all of these creams are not approved by the...
1 Reactions
2 Replies
868 Views
Kwa muda mrefu tunajua kwamba maji, matunda, jua la asubuhi na jioni na vipodozi ndio msingi mkuu wa afya na urembo wa ngozi. Ili kuwa na ngozi laini, inayong'aa na kuvutia zaidi inabidi...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom