Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kama kichwa cha habari kisemavyo niko na shida ya makovu ya kuungua na moto mwilini mwangu japo si mengi ila huwa yananikosesha amani so nahitaji msaada mtu anayefahamu kitu nachoweza tumia...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
He is pursued by people that find him sexually attractive. Is able to bypass the talking phase entirely. Sex is offered to him. His appearance will be talked about in a group setting right in...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums. Eti ni kwel mtu akiwa mnene sanaa na akaja kupungua uzito kwa haraka kama alikuwa mfupi? Huongezeka urefu je ni kwel au ni uwongo? Kama ni kwel nianzee kula ovyo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wa bara na visiwani, mashariki ya mbali na magharibi pia... Mara nyingi nimekuwa nikilisikia hili swala kuwa wanawake wengi huvutiwa na wanaume wanaonukia zaidi...
2 Reactions
56 Replies
16K Views
Nimeenda SH AMON sijaipata... mwenye kujua sehemu nyingine wanapouza anielekeze.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikwenda mlimani city kwa Mara ya kwanza mwaka 2007 nikaoneshwa mkufu wa dhahabu nilitoa macho kiasi kwamba ukimpa msichana kama zawadi lazima umuoe,kwani unang'aa kama jua linachomoza au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaam akina Mama, Madada na Mabinti. Nawasalimia katika jina la Urembo, na Umaridadi. Ama baada ya salamu kwenu ninyi , Mabinti wa Afrika, Ma-MALIKIA wetu sisi wanaume wa Kiafrika... Naomba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mada inajieleza,huo mchezo mjomba wangu alikuwa ni master huko china zaidi ya miaka 30.aliporudi Tz akaanza kunifundisha nikiwa na miaka 5 mpaka miaka 27 na Sasa nina miaka 30 hakuna kitu...
4 Reactions
127 Replies
13K Views
Tujuzane sasa. Hivi ni dili au ? tena yanabanwa na kupandishwa juu huonekana kifuani karibia kila mwanamke hapa mjini, kwanini wajuba? Wanatuchukuliaje hawa? Ikiwezekana waje watueleze hapa.
0 Reactions
128 Replies
15K Views
.
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu! Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa. Leo nimekuja...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wapo wenye nywele nyeusi, nyeupe , brown, kijivu. And also their hair appearance differ. What makes their hair to behave like that? Is nationality the reason of those difference ?. Answers please!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Poleni na majukumu, Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake especially saa za kike kama una picha unaweza share Asanteni.
0 Reactions
42 Replies
20K Views
Hongereni kwa kazi! Naomba kujua kwanini watu wengi wanapenda sana kufua nguo zao za ndani bafuni? Tena wengi hufua kwa kutumia sabuni ya kuogea ambayo kimsingi imetengenezwa kwa ajili ya kuogea...
2 Reactions
72 Replies
12K Views
Topshop is one of the bests online clothing markets in the UK, and it is largely knowing as the online market with the most trending in fashion clothing products. Topshop is also known for its...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine. Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima...
4 Reactions
68 Replies
11K Views
Wakuu habari, ni takribani nusu mwaka nimehamia Mbeya na kama mnavyojua hali ya hewa huku ni upepo na baridi. Ngozi yangu imekua kavu na imefubaa. Kwa anaejua cream au lotion au mafuta mazuri...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Hivi kuna perfume nyingine inayoipiku hii kitu kwa kusmell fresh? Mimi binafsi hii naikubali sana, wewe je? Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
93 Replies
20K Views
Wadau habari, kuna nguo niliimwagia wine na nyingine nilikuwa nakata nyama ikadondokea damu sasa sikuzifua muda huo huo na baadaYe yale madoa hayatoki tena hata nikiloweka, nitumie nini? Nguo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
African girls are the most beautiful girls in the world. Their natural body curves, beautiful melanin skin makes them unparalleled. African girls don't need to go for plastic surgery to get curves...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom