Leo wadau wangu wa JF nimebaki na kupigwa butwaa baada ya kusikia principal akisema wanaume chuoni tunavaa nguo za kuvutia wanawake mmh sasa hata sielewi hizo ni nguo za aina gani.
[emoji23]...
Tumezoea kuona wale vijana wakipita majumbani kukata kucha za wanawake, kubandika kucha bandia pamoja na kuwapaka rangi. Binafsi tabiaa hii siipendi na hata wife nilimpiga marufuku kama anataka...
Wakati janga jipya la virusi vya corona lilipoibuka duniani limesababisha kila kitukikwame. Ugonjwa huu umekuwa na atharikubwa katika karibu kila sekta, hasa biashara yamitindo ambayo ilikuwa...
Amani iwe kwenu
Kwa Mara kadha wa kadha nimekuwa najiuliza maswali machache juu ya wanaume wanaovaa hereni hasa wasanii na wachache wasio wasanii. Kutokana na hali hyo nimejiuliza maswali...
Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike.
Je...
Habari zenu wanajukwaa..,Mimi naomba kujulishwa ni Spray gani itanifanya ninukie vizuri yaani ki (Gentleman) ya Bei Rahisi kwanzia Buku5-10...??
NOTE:HALI YANGU YAKIPATO NI NDOGO NDIO MAANA...
Habari zenu wana JF,
Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea...
Wakuu saalam nyingi kwenu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu.
Kijana mwenzenu nimekata shauri ya kuwa na mke hivo nimeanza mchakato wa kufunga ndoa. Ninaomba ushauri wa rangi...
Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya...
Hello wakuu,
Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu wanaume walikuwa wanabeba briefcase. Kwa wasiozijua naomba mzingatie picha. Wanaume walikuwa wanaenda na kurudi nazo kazini.
Najua hata sasa...
Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi...
Makuti ni majani ya minazi yanayopatikana katika mikoa ya kando ya bahari hasa katika nchi za kitropiki. Makuti husukwa viungo na viungo hufungwa kwenye miti au mbao za nyumba ili kuzuia jus na...
What makes you a man? Perhaps in every man lies this kind of sense, what makes him stand out from all the other men, the important things that add to your confidence, to your values and most...
Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku .
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali...
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.