Nina duru za giza kuzunguka macho yangu kwa muda mrefu. Nilitumia bidhaa kadhaa kuondoa giza. Lakini hakuna matumizi.
Ikiwa kuna mtu yeyote amepitisha shida hii, tafadhali nisaidie
Mimi nmekuwa mtumiaji wa Deodorant za Fa kwa muda mrefu sana. Hasa baada ya NIVEA kunishinda au kutoendana na ngozi yangu.
Nivea nlianza kutumia toka miaka ya 90s baadaye zikawa zina au mwili...
Habari warembo nilikua naomba kueleweshwa hivi hizi cream kama wix, dela nk ni asilia hazina chemicals?
Nataka cream kutumia asilia lakini zitakazoipa ngozi yangu mng'ao na rangi amazing...
Nina hahika asilimia 78%, hawajui hiki kitu, wakati ukiendelea kufurahia matumizi yaliyozoeleka ya powder chukua na hii usiiyache kuitumia.
Nilitembelewa na rafiki yangu alinicheka na kuniuliza...
Habari wanaJf..
Poleni na harakati, hongereni pia kwa utaftaji.
Mungu awajalie katika harakati zenu pia. Haswa harakati ambazo ni halali.
LENGO LA UZI; Ni kwajili ya Viatu tu, napo ni pande...
Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2.
Sasa leo ndo nimenunua...
Napenda sana meno meupe na yaliyopangika vizuri. Na kwa bahati nzuri nimejaaliwa kuwa na vyote viwili pasipo na msaada wa dental braces wala retainers. Na meno ya njano njano huwa yananichefua...
Wakuu mpo salama . nilikuwa nahitaji ushauri wenu nilikuwa nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon na ukienda saloon inakuwaga ni bei gani kutengeneza...
Hii perfume ina harufu moja matata sana ikikukolea mwilini ni kama mvuta sigara, yaani hadi jasho lako linatoa harufu ya redrose
Naikumbuka sana kwa sababu kuna Dada mmoja nilikuwa nampenda sana...
Habari zenu wakuu.
Mara baada ya salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna Binti moja mzuri sana kiumbo na kisura lakini huyu binti amefuga kucha ana kucha ndefu kweli kweli mpaka...
Habari wanajukwaa,
Mwenzenu sifurahii kabisa jinsi ngozi ya viganja vyangu vya mikono ilivyo kavu na ngumu, yaani hainivutii kabisa natamani ilainike.
Nilishauriwa zamani kutumia glycerine...
Km headline inavyojieleza. Tukianzia zile za kibongo bongo,za kina chibu hd ma-hismiyake. Upi ni uturi the best for you mdau?
Sent using Jamii Forums mobile app
hello warembo na watanashati,
Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000.
Sio vibaya ukinitajia...
kama Unapokaa Au kwa rafiki zako Au jilani kuna ma sinki ya choo yaliyoshindikana kwa uchafu.. Kiboko yao ipo.
Tafuta dawa inaitwa NEW HARPIC nais haizid elfu 13. Kutokana na location uliyopo...
Dressing codes have a story to tell about you even before you speak. It creates an attraction wave to the people around you each second. Why dont you try this combination and walk out one day in...
Wakuu anae jua dawa ya meno ya ALOE VERA AirSun inapatikana wapi anijuze.
DONDOO:
Toka mfungo wa Ramadhani ulipoingia, nielienda kujumuhika na familia yangu kijijini japo sikuwa nimefunga...
Mm kiukwel sina style maalum
Yan najikuta nishakaa kwenye kiti kinyoz akiniuliza sina chakumjib
Ebu weken style zenu zakunyoa na majina yake aseeh ili na sisi tupendeze.
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.