Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari za leo wana jamvi, Kama kawaida natoa elimu ambayo ina manufaa kwa watu wote walio enda shule na ambao hawa kwenda shule kabisa. Ninapotoa elimu hii sio kwamba mimi najua sana kuliko...
2 Reactions
12 Replies
15K Views
Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule. Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
8 Reactions
26 Replies
6K Views
Hello! Naomba kufahamu mafuta mazuri ya kiume maana natoka vipele vidogo vidogo usoni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Habari wakuu ...tujadili utunzaji wa ngozi ya miguu na mikono nimewahi sikia kuna special lotion kwa ajili ya ngozi ya miguu na mikono ila sijawahi tumia.... Tujuzane hapa unatumia Mimi kutunza...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Ndio tufoleni hapa; kuna wanaume wenzetu hawana wanaponda ni uchafu. Na kuna kidada wanazimia watu wenye ndevu zao. Mtazamo wako upi bila kujali jinsia yako? Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
111 Replies
14K Views
Poleni na majukumu wazee wezangu To be honestly me siwezi tembea bila cape, mzura au prova kwa kifupi sijawai acha kichwa changu wazi Nilianza kuvaa mizura kiutani utani lakini asa hivi...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Enzi zetu wakati tunasoma usafi ulizingatiwa mashuleni na walimu wetu mwanzo mwisho tulikaguliwa kuanzia meno kola ya shati kucha nywele yote hii kuhakikisha tunakuwa simart. Ila siku hizi kuna...
6 Reactions
69 Replies
9K Views
Kwa wale wapenda makeup karibuni tutete 1. Unaanza na conceler, hii inaziba madoa, makovu na weusi chini ya macho concealer meaning - Bing video 2. Foundation. Tafuta inayoendana na rangi...
5 Reactions
22 Replies
7K Views
Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi Je ni sahihi kweli...
4 Reactions
112 Replies
22K Views
Kama kichwa cha habari kinachosema kwa wale ambao wametumia mafuta ya Shea butter tupeni mrejesho je ni mazuri na kazi ya mafuta haya kwenye ngozi ni nini?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Simaanisha usafi wa nguo, hapana! Huko chiniii. Jana jumapili nilienda lodge na dada mmoja hivi ukimuona kwa mavazi ni msafi sana, lakin huwezi amin baada ya kupiga round mbili sikua na ham tena...
19 Reactions
230 Replies
18K Views
Biomechanical Tattoos Aina hii ya tattoo inaonekana bora sana wakati imechorwa kwenye sehemu za misuli za mwili. Na wakati kubuni tattoo hii, fikiria kuichora kwenye miguu, mikono , au hata...
2 Reactions
12 Replies
13K Views
Leo nakuletea njia ya kuosha miguu nyumbani mara mbili kwa mwezi, kwamba unaosha wiki hii unasubiri wiki nyingine inapita... kisha unaosha tena kwa staili hii. Hii si kwa wanawake tu, hata wanaume...
16 Reactions
20 Replies
17K Views
Kwa muda mrefu Clouds wamekuwa wakijitahidi kuambukiza mitindo inayoathiri sana kwa namna mbaya tabia hasa za vijana. Jambo hili liliwezekana kupitia muziki ambapo ukiimba muziki wa matusi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJamiiForums. Leo nataka niwajuze tabia ambazo mimi sizipendi ambazo sio za kistaarabu ambazo naziona kwenye maisha yetu ya kila siku 1. Acha kujisokonyoa puani na vidole vyako...
11 Reactions
124 Replies
21K Views
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani Lakini nimegundua kabisa madera haya yanayoakisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani. Pia nimefahamu siku hizi hamvai...
7 Reactions
82 Replies
26K Views
Je, wajua kuhusu marashi, pafyume, uturi na manukato? MARASHI ni vitu vyenye manukato vinavotumika kuandaa perfume km vile maua, matunda, majani nk. PERFUME ni kimiminika kilichoandaliwa...
5 Reactions
20 Replies
42K Views
Uongo mwingine si uongo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hello wakuu. Unaweza kutueleza jinsi unavyoweza kudumisha kuwa msafi Wa mwili na nyumba. Routine zako za usafi kila siku pamoja na (altitude) zako zinazokuwezesha kuwa msafi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni mafuta gani yanayo faa kwa mtu nwenye ngozi isiyo kuwa na mafuta yaani ngozi kavu?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom