Utafiti mpya uliofanywa na chuo cha Aston mjini Birmingham, Uingereza umegundua kuwa katika bidhaa 9 kati ya 10 za urembo (Makeup) ambazo zimekwisha kutumika zina bakteria hatari.
Utafiti huo...
Habari za mida hii?
Mimi sio mshabiki wa timu yoyote na wala sijui kuhusu maswala ya soka.Nimewahi kuwa na rafiki wa ki Portugal. Aliniambia nimtajie wachezaji soka 5 wa nchi yake na kila...
Hivi suti nini? Kwa sababu mtu akivaa suruali ya kitambaa na shati bila lile koti anaoneka hajavaa suti ila akivaa Koti pamoja na suruali ya kitambaa na sauti ndo anaonekana kavaa,je suti nilile...
Wadau mimi ni mshkaji fulani wa kibongo mweusi. Sio black. Ni mweusi, kama hujui tofauti mwangalie aliyekuwa Rais wa USA Barack Obama ile rangi yake. Walimwita Black.
So naposema mimi mweusi...
Wadau,
Kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake sasa ngoja aanze...
Hasa kwa kina dada, nani aliye waloga kwamba kucha ndefu ni urembo?
Pia makucha ya bandia ndio kabisa ni uchafu.
Wapo watakao pinga wanaume kwa wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata mchumba, kwa kweli ananipenda sana na hanisumbui hata kidogo.
Malalamiko yake ni kuwa siko nadhifu.
Nimejaribu kununua nguo mpya, boxer, soksi, viatu na mikanda.
Nanyoa ndevu na nywele...
Shindano la Miss World 2019 limefanyika kwa mara ya 69 hapo jana tarehe 14 Desemba katika Ukumbi wa ExCeL London Jijini London, Uingereza ambapo mrembo Toni-Ann Singh wa Jamaica ametwaa taji...
Utakuta mtu anajitolea hewa chafu ndani mwake tena mara nyingi tu na hata hachukizwi na harufu yake lakini kosa afanye mtu mwingine atachukia kweli.
Utakuta mtu anajichezea tu kikwapa chake na...
Je, kuna tofauti ipi kati ya Kung'aa na Kujichubua? Mimi ni maji ya kunde, sipendi kuwa mweupe lakini napenda kuwa na ngozi nzuri.
Nimeelekezwa kununua mafuta ya Queen Elisabeth kwamba nitang'aa...
Sisemi sana ila nataka tu utambue wewe si mwanamke
Sisemi sana ila nataka tu uelewe huna sifa za kuwa mwanamke
Sisemi sana nataka tu ufahamu kuwa katika list ya wanawake (haupo)
ILA HIII NI ...
Wapendwa ndugu zanguni hasa wadada.. Kama kuna kitu au vitu vilikuwa vinakutatiza kuhusiana na swala zima la urembo wa salon, basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na...
Wapendwa
Leo nimeingia hili jukwaa
Huwa napenda kuuliza jambo kabla sijafanya utekelezaji
Waswahili walisema kuuliza si ujinga mimi hizi sabuni niliona zikipigiwa promo na jamaa mmoja wanasema...
Siku hizi mambo yamebadilika manjano yamekuwa ni kiungo muhimu katika ngozi, wakati hapo awali manjono yalikuwa yanatumika katika kupikia, lakini kwa sasa katika urembo bila manjano urembo wako...
Eti binti kwasababu amempa Yesu maisha (ameokoka) basi ndo haelewekiiiiii,[emoji134].. Uso alishaacha kupaka hata kapoda tu! Wanja ndo kabisa hagusi eti una mapepo, tehe;[emoji16]
Ukimkuta mdomo...
Miss Universe 2018 Catriona Gray kutoka Ufilipino akimvalisha taji mshindi mpya kutoka South Africa katika mashindano yaliyofanyika Desemba 8, 2019 Atlanta Marekani ndani ya Studio za Tyler Perry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.