Habari wazee,
Nipo kwenye foleni za hapa town muda huu, kama unavojua Dar es salaam barabara nyingi za hapa ni ile two ways in two ways out. Upande wangu wa kushoto kuna dada anaendesha IST...
Waungwana mpo?
Juma Nature aliwahi kusema Sitaki demu lakini siku chache baadaye ajabambwa akiwa na denu shombe shombe wa uswahilini nafikiri ndiye mkewe hadi sasa.
Mwanafalsa naye aliwahi...
Halo wanaboard
Tuelimishane hasa machimbo unayowewa pata mitupio ya maana kwa bei reasonable mfano viatu classic vya ofisi, mashati, kadeti suruali n.k hasa kwa hapa Dar mana wengine bei za...
Nataka kumnunulia baby wangu zawadi kwa ajili ya birthday yake. Mrembo wangu ni mpenzi wa marashi lakini uwa anajipaka very cheap perfume ambazo ukitembea hatua tano zimeshapepeluka.
Nataka...
Siku hizi kuweka contact lens na kubandika kope imekuwa habari ya mjini. Ni wadada wachache sana ambao hawafuati trend hii.
Ila sasa jamani dada zangu mnapobandikwa vibaya kope huwa hamuoni...
Habari zenu wapendwa.
Leo nimewaletea somo la utengenezaji scrub ukiwa nyumbani kwako na kwa mahitaji rahisi Sana yanayopatikana nyumbani kwako.
Mahitaji
Sukari nyeupe kikombe kimoja
Asali...
Wadau.
Napenda Sana vazi la suti.
Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau.
Naomba jua.
1 Gharama za suti hiyo?
2. Je Ni ya kushona au ya Dukani?
3. Je rangi yake...
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.
Kitu/vitu gani hua...
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa...
Kwa kweli haipendezi hata kidogo kukuta mtoto wa kike anakalio gumu.
Kama umeshindwa kununua lotion kwa ajili ya kupaka makalioni basi pakaa hata mafuta ya nazi au mafuta ya kula.
Haya usiku...
Kama unavojua kesho ni J3. Wenyewe mnaita Blue monday.
Nimetoka zangu church mida ya saa 7 nikapata msosi hapohapo church kuna canteen mradi wa akina mama. Then nikaseme niende Salon nikafanye...
Wakuu salaam,
Wacha niende moja kwa moja katika mada Tajwa hapo juu. Nimekua na mtizmo tofauti kidogo ambao nimejaribu kuchukua hatua kidogo kuufanyia utafiti, na nimekuja kuona kama kuna ukweli...
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia
Je kuna dawa yyt...
Salam!
Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada
Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.