Ndizi ni chakula na pia bidhaa muhimu katika urembo.
Matumizi ya ndizi katika urembo
Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama...
Socrates aliwahi kusema "...ni aibu iliyoje kwa mwanadamu kuzeeka bila kujua ni nguvu kiasi gani na uzuri kiasi gani mwili wake unaweza kufikia"
Nataka tujigee changamoto ya kuona ni kwa kiasi...
Akikaa kwenye siti anatumia siti moja na nusu, abiria mwenza anabaki na nusu siti tu.
Kama amesimama kwenye daladala anakubana na tumbo lake wewe abiria uliyekaa.
Hawa watu kwakweli wanatia hasira.
Ladies and gentlemen tusaidiane kidogo hapa...
Hivi ni njia ipi bora ya kumwambia mtu mwili wake unatoa harufu bila kum-offend? Ni opposite sex na mna mahusiano either ya kikazi (co-worker) ama...
Hello wapenda urembo, Kuna mtu aliyewahi kutumia scrub ya mafuta ya Nazi original pamoja na kahawa?
Nimeambiwa kuwa Ni nzuri, lakini Mimi uso wangu ni was mafuta so iniletea rashes,lakin...
Habari zenu wapendwa, poleni na kazi na mihangaiko.
Niko Dar, naomba mnisaide kuniambia sehemu nzuri ambako wanatengeneza rough dreads vizuri sana.
Natanguliza shukrani.
Unapopaka rangi ya mdomo unasababisha midomo yako kukosa uasili .Ipo namna ya kufanya ili kuirudusha katika hali yake ya kawaida
Unachotakiwa kufanya;chukua kijiko Kimoja cha mafuta ya Olive au...
Hivi vitu kiukweli mimi binafsi vinanichanganya, kama ambavyo hesabu logarithm zilivyokuwa zikinichanganya sekondari.
Kwa wale wajuzi wa mambo hebu tuwekane sawa hapa, kuna tofauti gani kati ya...
Nisaidieni kupata njia ya kuondoa ndevu kwa mwanamke maana zimekuwa zikiota nakata ila zinarudi mara mbili zaidi ya awali.
Mwanzo vilikuwa 2 nikavikata vikaja kama vi5 ni virefuu sasa naogopa...
Habarini wanamitindo wenzangu,mimi.kijana wa makamo tu,nmefuga nywele ndefu nmepunguza pemben level flani.hivi, lakini kuna watu wanasema kuna kunyoa hivo unavhukuliwa.kma.ni uhuni,je nifanyaje?
Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana.
Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za...
Habar wapendwa....nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne lakin toka amalize shule katokewa na mapele usoni mpka anatia huruma sasa anataka kutumia nai beauty lotion kwa anaeifahamu hii losheni...
Wadau kama kuna mtu anajua dawa ambayo inasaidia kuotesha mindevu ikajaa..maana kuna rafiki yangu anataman sana kuwa na ndevu nyingi...vindevu vyake vya kidevuni vimechomoza viwili tu...anatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.