Sitaki kusema mengi ila kama ni mwanaume Mimi tu ndo zinanipa tabu basi sinabudi kuvumilia.
Kiukweli nikikutana na mdada amevaa hizi awe mwembamba au mnene napata shida Sana hasa ukute shape...
Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako kisha scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai.
Baada ya hapo fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa...
Nianze kwa kuwatia moyo wapendwa!
"Kuisha kwa koleo siyo mwisho wa Uhunzi"
Karibuni kwenye mada hii ya Chupi mujaarabu!
Chupi kama neno asili, ni ile nguo ndogo ya kwanza ya ndani kabisa...
Kwa kutumia vitu vya asili unaweza kubadilisha complexion ya ngozi yako.
Hii inafaa sana kama umebabuka na jua au unataka kutakatisha ngozi yako
Changanya
Turmeric 1/2 kijiko kidogo
Mtindi kijiko...
Japo vijana wa town tunaita kiduki lkn ndio kina nipendeza zaidi kuliko mwanzo nilivyokuwa nanyoa kawaida, nilijaribu kurudi kunyoa kawaida kila MTU alinishangaa na kuniambia sijapendeza kama...
wadau habari,
Je Muonekano wa nje(utanashati au urembo) unadumisha Mapenzi yaani mwanamme au mwanamke kuzidisha mapenzi kwa mwenza wake?
kuna baadhi ya manukato (body spray na perfumes)...
Wanajukwaa nahitaji kuwa na ngozi laini I'm mean soft kuliko hata ya mwanamke nitumie nini Kwa njia za asili
Tofauti Na
*mafuta ya nazi
*Kunywa maji mengi
*Kula mboga za majani
Taja njia zingine...
Kama umetamani kuwa na ngozi yenye mng'ao unaweza kutumia huu mchanganyiko
Changanya
Manjano 1/2 kijiko kidogo
Maziwa kijiko 1 kidogo
Asali 1/2 kijiko kidogo
Pakaa mchanganyiko kwenye uso na...
Habari zenu wote. Karibuni Sana, nauza kofia za kulalia kwa wale waliosuka rasta, kushonea weaving, wenye curly hair, natural hair nk. Kitambaa Ni satin, na kwa kuwa satin ni kitambaa laini kofia...
Habari wapendwa,
Naomba kuuliza ni product gani ya ngozi ambayo ni nzuri isiyochubua ila inang'arisha na kufanya ngozi kuwa soft kwa bibi harusi mtarajiwa?
Asanteni
Vipi wazima?Hii imekaaje vipodozi kuwa na kojic acid?Jee kojic acid ni salama??
Nimeona vipodozi vingi tu vyenye hydroquinine kupigwa marufuku jee vipi kuhusu Kojic acid???
Habar, wana jf naomba kujua perfume au spray yenye harufu nzuri ambayo inakaa kwa mda mrefu kidogo bila kupotea unapoitumia
N.B bei yake isiwe more than 15 , naomba mwenye kujua anitajie jina na...
Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi...
Hereni nzuri sana zinapatikana kwa jumla na reja reja
Jumla 4000
Reja reja 5000
Tupo mwenge mpakani
Call 0714249143
Whtsaap 0767626990
Tunakufikia popote ulipo,mikoa yote tz na nchi jiran
Tanzania bado sana.
Ukitaka kuona wanawake 'wameboost' shiriki tu kwenye harusi au send off. Wengi hupenda kuachia maziwa wazi ama kuyabana vizuri ili yafyatuke wanaume wayaone vyema.Si mke wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.