KUTAFAKARI/MEDITATION
Kutafakari "Meditation" au katika lugha ya Sanskrit "Dhyana" ama mtiririko wa mawazo ni moja ya sehemu kuu Yoga inasisitiza kuidumisha katika sanaa hii ya upanuzi wa...
Kuna watu hawawezi kwenda kuoga bila jiwe au brashi la kusugulia mguuu halafu bahati mbaya ni kwamba Brashi analotumia sugulia miguu ni Brashi gumu na wengine hawajaishia kwenye Brashi ila wameona...
Hao unaotaka kuwa impress watakuonakichaa
Hapa ni kujitafutia matatizo
Hata uwe na flat tummy hapa ni NO
Hata iwe a night party, skirt iwe knee length
M hand bag mkubwa ni wa nini?
TATIZO LA MAFUTA MENGI USONI
Habari rafiki! Karibu leo tuzungumzie tatizo la mafuta mengi usoni.
Mafuta ni moja kati ya vitu muhimu sana katika ngozi zetu. Na chini ya ngozi zetu (ndani ya mwili)...
Hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuvaa khanga, vilevile hakuna mwanaume ambaye hajawahi kufunikwa na khanga (utotoni si ulibebwa )....Yafuatayo ni maajabu ya khanga
1/Historia
Asili ya vazi hili...
Heshima kwenu wadau.
Katika uzi wangu uliopita nilielezea jinsi unavyoweza kutengeneza mwili bila kuingia gym. Mazoezi yale yalilenga mwili wa juu, yaani kifua, mikono na mabega.
Jinsi ya...
Niko hapa Mwanza na ninashuhudia Vjana kwa Wazee, akina Mama kwa wasichana wakienda kupata huduma kwenye Sauna.
Kwa ufahamu wangu mdogo sauna ni vyumba vilivyotengenezwa kitalaam ambapo...
Kwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.
Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer .
Maliwato (choo na bafu) ni sehemu muhimu sana katika nyumba na ni sehemu inayohitaji usafi wa hali ya juu sana. Mara nyingi maliwato hujengwa kwa vifaa ambavyo ni rahisi kusafisha (tiles). Kama...
Napenda sana kuvaa buti,
Yani huwa najisikia huru sana kuliko hata nikivaa Sneakers,
Naweza nikavalia suruali za aina nyingi bila kuleta tatizo lolote, kuanzia jeans hadi kitambaa.
Hivi sehemu...
Swali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
Habari Wadau,
Najua Kila Mmoja Wetu Anajua Au Ameshawahi Kuwaona Wapiga Nondo Wanavyokuwaga Na Viuno Vidogo - Yaani Kifua Daraja Wakati Kiuno Sindano.
Sasa Nawezaje Kubalance Haya Mazoezi, Na...
Jamani naombeni design za mishono tofauti kama kumi kwa ajili ya wasichana wangu(miaka 19 mpaka 25).
Kwa ajili ya harusi na send-off wao ni special guests nataka wafunike
Tanzania kuna wanawake warembo I see asikuambie mtu. Naamini ina warembo kuzidi nchi yoyote East Africa. Mtu atakuja,oooh...! Rwanda.
Hao wanaokuwa kama warwanda wamo humu Tz yaani mpaka unaweza...
Jamani!
Mbona naona vijana wa siku hizi wanazeeka haraka?
Yani nikiangalia wazee wengi wana nywele nyeusi tii labda na vimvi vichache tu. Ila vijana sasa... Vichwa vimejaa mvi... Tena wengi ni...
yanapatina maduka gani na bei zake
nataka niyatumie kwa ajili ya miguu na mikono coz nina ngoz kavu sehemu hizo na pia dark spot kidogo
pia kama mtu umetumia nitashukuru ukinipa feedback
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.