Habari za jumapili wanafamilia wa jf. Nina rafiki wa kike toka marekani. Amekuwa akinitumia zawadi mbarimbari laini mimi sijawahi hata kumtumia zawadijapo moja[emoji85]. Nimefikili na kuona ni...
Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali
Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya...
Manunuzi ya kwenye mitandao yamerahisisha upatikanaji wa bidhaa ambazo zamani tuliwaona nazo celebrities kwenye magazeti. Hii kweli ni dunia ya utanda wazi.
Wenye makampuni wamepunguza gharama...
Aisee jana kwenye Msiba wa Mzee wetu Mengi kulikuwa na Maajabu mengi sana mara Bashite aonyeshe kiburi cha uzima na pedo yake iliyochanika Magotini ilee lakini Kibaya zaidi ni namna Watu wengine...
Niko Mwanza kwa shughuli ya kutafuta rizk kwa wiki ya pili sasa.
Kama ilivyo kawaida yangu kugeuka geuka pindi mwanamke mwenye chura akipita ili angalau nipige 'paper two'. Kwa kweli kwa sasa...
Dunia imebadilika na idadi ya wanaovaa extra size imeongezeka, ukubwa wa khanga umebakia ule ule.
Unanunua khanga hata bila kuikata unapinda zote mbili lakini bado ni ndogo. Mbona vitenge...
Ni kitu kisichopingika kuwa mtu kuwa na muonekano mzuri anahitaji kuwa na umbo zuri pia. Wanawake hasa waliozaa huwa na matumbo makubwa yanayoharibu muonekano wao mzuri. Mazoezi haya yatakusaidia...
Mamboz!!
Wanye uzoefu wa kazi za saloon/hair stylists natafuta Hair Texturizer,mwenye idea wapi naweza ipata naomba anielekeze.
Nimezunguka KKoo maduka hawana na wengine hawana hata idea ni kitu...
Knamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
Habari wakuu,
Katika harakati za kuendana na mitindo mbalimbali ya maisha kama vile kufanya mazoezi kuweka miili sawa ikiwemo kupunguza tumbo au kukaza misuli ya tumbo tumetokea baadhi ya wanawake...
Mambo vp wakuu shikamoni
Kama kuna mtu anayajua mafuta ya kupaka kwa ajili ya wanaume yatakayofanya sura yangu kidog iwe smart maana sina matunzo sa hivi kidg maisha yangu yameninyookea pamba za...
Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na...
Fragrance.
An invisible part of your personal style.
One that has a significant effect on how people perceive you.
Fragrances can:
Increases your level of attractiveness.
Increase your...
Sikuhizi mambo yamekuwa mazito kidgo.
Binadanamu wamekuwa wakipenda au kuhitaji kuonekana wa jinsi nyingine.
Ukiachiliambali uwepo wa Homosexual ( mapenzi ya jinsia moja, kuvutiwa na...
Habarin bandugu,,Kama ambavyo heading inajinasibu hapo juu nahitaji kujua kama ni kati ya vile vyenye sumu. Japo sijaona vile viambatasumu ila nahofia tu kwahyo kama kuna aliyewah kutumia ama mtu...
Haya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi???
Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake
Hii perfect white jee???Kuna member...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu ni aina gani ya vitambaa bora zaidi vinavyotumika kushonea nguo hasa suti za kisasa na nguo nyingine zinazo tamba kwa sasa...
Kwa wadau wa fassion na yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.