Samahani kwa kutumia lugha kali kidogo.
Nimetembea Mikoa mingi hapa nchini, na kila nikienda benki yoyote utakutana na wahudumu wanawake waliovalia nguo fupi zilizowabana maeneo muhimu.
Unakuta...
wanadai zinazuia shati lisijikunje au kichomoka Hata ukiinama,huku ikikuweka smart mda wote, Je kuna ambae ameshatumia atupe mrejesho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha nilisemee hili,maana limenichosha na kunitia kinyaa.
Haiwezekani unaingia chumbani kwa binti wa karne hii ya 21 unakutana na
vitu vimetapakaa kila sehemu,masufuria yamejaa koyo,miko na...
Here are 5 certain types of tummies and how to get rid of them:
1. Alcohol belly
Drinking too much alcohol drinks can prevent your body from digesting the food properly. Also, alcoholic beverages...
Wadau habari.
Naamini wapo wanaofahamu mapigo haya naweza pata wap shati kama hili.
Natanguliza shukurani
Ts temporary post
Sent using Jamii Forums mobile app
Hbr za mda huu wanajamvi
Nisipoteze muda sana naona bora niende kwenye uzi moja kwa moja
Wakuu ninashida na viatu vya balenciaga (one pair) chenye gamba jeusi na soli nyeupe
Nimetafuta...
Jamani nini maoni yenu,
Tunaposafiri, chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe, maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani na mara nyingi zinasababisha...
1. Zingatia aina ya sherehe na rangi
Je, ni sherehe rasmi, ya kuvaa kawaida au ya mavazi maalum(costume party)? Pia chunguza kama kuna rangi mahususi kwa ajili ya waalikwa na jitahidi kuijumuisha...
Habari zenu wadau.
Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya...
She was born in 1993 and now she is nursing a 4 month old baby.
" Siku hizi magonjwa mengi sana. Nipo na mtoto wangu huyu mmoja sitaki habari za wanaume. Nikipata MTU wangu mmoja natulia nae coz...
Mimi hupenda sana utanashati, kuvaa vizuri yaani nguo safi, imepigwa pasi vizuri, mpangilio wa kuvaa nguo, viatu na mkanda wa kiunoni, nguo sio za gharama sana, hata mitumba navaa ila napangilia...
Habarini,
Unapokuja katika suala la mavazi mafupi, wapo wanawake ambao wamejaliwa na miguu yao mizuri ya bia wakivaa wananoga.
Uvaaji wa nguo fupi umekua unawachoresha hawa wenzetu wenye miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.