Wanabodi
Mambo yamebadilika na dunia inazunguka kasi sana
Hadhi ya wanawake kuanzia akina mama na wa-dada wa jijini Dar imeporomoka kwa kiwango kikubwa, kwa sasa wamekuja na mitindo mipya ya...
Hivi sasa, kumekuwa na tabia inayokua kwa kasi sana inayohusisha vijana wa kiume!Tabia ya vijana hawa ya kutoboa masikio linaweza kuwa moja au yote, kisha kuvaa vipini kama wasichana au kama...
1.Wanawaza kuwa na handsome kuliko wote duniani
2.Anawaza kuwa na mwanaume ambaye amejitosheleza kiuchumi
3.Anawaza akiwa kwenye mahusiano na mtu aliyefanikiwa na yeye atafanikiwa hata bila...
Wadau hebu tupeane ujuzi kwenye uvaaji wa tai, kwa mashati ya mikono mirefu na mikono mifupi, hivi kuwa kuna kanuni inayotawala uvaaji wa tai kwa mashati hayo?
Pia naomba kujua je, kuna kanuni za...
The extraordinary hourglass shaped model from Ghana and Kenya
Born to a Kenyan father and a Ghanaian mother, 22 year old Pamela Odame Watara is no doubt a social media sensation in Ghana. Pamela...
Leo nipo hapa kuwasaidia watu wanaotaka kuingia kwenye modeling au ni models wanataka kwenda kimataifa. Jina langu ni Blessing Chess nafanya kazi THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE modeling...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa sasa kujichubua/kutumia mikorogo shida ni nini,JE CHANZO NI WANAWAKE?
Unakutana na anko mloachana 7 years akiwa mweusi leo ni mweupe, au anakuwa na rangi...
Wakuu wa jukwaa hili la utanashati habari za mida hii.
Kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kufahamishwa juu ya hilo swali nikivaa kadeti then nikachomekea na shati, kuna jamaa wanadai kadeti...
Mimi ni mhanga wa kuwa na ualaza hivyo nalazimika kunyoa kila baada ya wiki moja ili kiwalaza changu kisionekane.
Tupeane ushauri namna ya kuhandle hali hiyo kwa wale wasiopenda kiuwalaza
Nataka kuachana na mambo ya kujipulizia perfume..nianze kuingia kwenye ulimwengu wa udi,,sasa wale wazoefu wa kutumia udi je udi gani ni mzuri na naupata wapi..haruf ya udi imetokea kunivutia sana
Habari..........
kuna mtu ashawahi kuyafaham haya jee yamepigwa marufuku?kuna watu wanavusha mipakani wananishawishi ninunue kwa bei ya jumla mzigo wa dukani
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia.
Asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili. Ikiwa sisi hatuvutiwi...
Haya sasa, wale wapenzi wa vitu vizuri, wasiopitwa kwa lolote kwa chochote tupieni jicho hapo. Mishono haibagui, mnene wala mwembamba.
Pia usiwe mchoyo kushare ili nasi
tufaidi.
Pendeza...
Naomba tuliongelee hili kidogo-
Weupe wa kununua
Hips
Makalio
Boob's
N.k
Ulishawah kujiuliza kuwa unajiona wap baada ya miaka kadhaa kupita ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.