Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists...
Habarini wana JF.Naomba kujua sababu za kukatika kwa nywele na ni njia ipi au mafuta yapi inapaswa kutumia ili kuzuia kukatika kwa nywele na kusaidia nywele kuota vizuri?
Habari zenu.
Kwa kweli mimi ambaye natumia muda mwingi mkoani, nikija Dar na kwenda mjini yaani maeneo ya Posta, ambako inasemekana ndio shughuli za kitaifa hufanyika, wanaume wengi sana huku...
salute wanajamvi
kwa takriban miaka kama miwili hivi sasa nimekua nikikutana na bidhaa za kampuni moja iitwayo MIKU INVESTMENT LTD wanazalisha vipodozi kwa ajiri ya ngozi, nywere na kucha...
Habari za jioni waungwana
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu..naomba kujua salon yenye kufanya huduma ya kubadili style ya nywele iliyopo hapa Dar es salaam
Natanguliza shukrani
Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe...
Habari wakuu....
Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde...
Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE....
Sasa sijui inaweza nisaidia??
Wanaume wengi wanasemaga hawapendi mwanamke anae jipodoa
Ila wacha tu tujipodoe kwakwel mpk mkituona barabaran mpagawe
Chura sina na sura nayoo[emoji57][emoji57]
Leo tutaangalia nafasi ya Asali katika afya ya nyuso zetu na urembo kwa ujumla wake
ASALI ni chakula kitam kitokanacho na nyuki kwa kutumia nekta au maji yenye sukari yatokanayo na maua.
KUNA...
Unaenda kwa mama lishe au muuza matunda unakuta kabandika mikucha utasema hachambi.
Sasa sijui tunakula vinyesi vya wangapi kwa siku.
Naomba niishie hapo kwa sasa
Wasalam kama kichwa kinavyojieleza kwa wale ndugu zangu ambao sio wapenzi wa perfumes na body sprays tuambiane Marashi mazuri yakunukia binafsi kuna marashi yanapendeza kwa wadada wa ki Islam...
Naomba nichukue nafasi hii adhimu kabisa na katika Jukwaa hili na Mtandao huu pendwa kabisa wa JamiiForums kumtakia Kila la Kheri Mnyange / Mrembo / Mlimbwende wa Kitanzania Dada Queen Elizabeth...
Sijui ni wangapi mnajua kuhusu hii bidhaa.
Bidhaa yenyewe ni ‘body powder spray’.
Ni poda [powder] ambayo unajipulizia mwilini: kwenye mabega, mgongoni, kifuani, chini ya makwapa, na kadhalika...
Je, ngozi kavu ni nini?
Ngozi kavu ni ugonjwa unaotokana na ngozi kukosa unyevunyevu wake na kupelekea ngozi kuwa kavu. Tatizo hili lina visababishi vingi ila
kwa leo nitavizungumzia vichache...
kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni
kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.