Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mwanaume aliyeoa nguo zake zikivaliwa mara moja tu, zinafuliwa. Yani akivaa leo akifika inatupiwa kwenye japu tayari kwa kufuliwa. Mnafahamu wetu kutokana na uwezo tunanunua cardet au jinsi za...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwa inspired baada ya kufika kwenye nyumba (soma: kabanda) moja hivi; ya hovyo hovyo tu! Kilichonifurahisha sasa! Yaani pazia la pale mlangoni nilitamani nijiviringishie; yaani saaaaaaaaaafi...
15 Reactions
75 Replies
8K Views
Bila Shaka mu wazima, naomba kuuliza anayeifahamu keto made by China, aniambie, inapopatikana tafadhali. Ni cream kwa ajili ya uso, huondoa dead skin na kukupa ngozi lain nyororo, haichubui...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wengi hupenda kutoka usiku kwa miadi tofauti tofauti. sasa ili utokelezee na uonekane tofauti na wengine unatakiwa kuvaa simple lakini muonekano wa kuvutia. leo nimekuletea jinsi ya kuvaa...
1 Reactions
41 Replies
16K Views
Wajameni, Yani kuna watu wanapenda kupuliza unyunyu sana yani mbaya zaidi unakua na ile harufu kali, jamani yaani sie wenye allergy tunateseka hatari..! Yaani omba usikae naye siti moja kwenye...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wapendwa Mimi ni beginner naanza kutunza nywele asili ninazo ndefundefu fulani hivi, ila nimegundua nywele zangu ni kavu kupindukia. Naombeni ushauri nitumie hair cream gani kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwanini watu wanazurura wamevaa kandambili?! Mjini katikati mtu kavaa kandambili! Unakuta miguu ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyofunika miguu yao?! Hizi kandambili za...
2 Reactions
122 Replies
18K Views
Kuna wallet fulani ilikuwa na mac ya Me Too niliwahi kumnunulia wifi yenu miaka kadhaa iliyopita,ila kwa bahati mbaya ilikuja kuibiwa. Alikuwa akiipenda sana ile wallet( rangi ilikuwa pink)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini! Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi...
12 Reactions
47 Replies
11K Views
Kijana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni. Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hello everyone, I'm Baracka, Brand manager at THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (Modeling Agency ) in london , Today on behalf of INHB WORLDWIDE (@theinnovationhouse.uk) • Instagram photos and...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Hello everyone, I'm Baracka, Brand manager at THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE (Modeling Agency ) in london , Today on behalf of INHB WORLDWIDE (@theinnovationhouse.uk) • Instagram photos and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee wa black is beauty mtanisamehe...white is more beautiful
2 Reactions
73 Replies
12K Views
Nafagilia sana nywele,nataka niwe na nyusi nyingi na ndefu,kope nyeusi na ndefu mwenye kujua tafadhali tusaidiane.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwakweli walokole wanaume hainifurahisha sana vaa yao. Hupenda mashati ya kung'aa na rangi za kung'aa. Unakuta shati rangi ya zambarau au njano linang'aa na kola pana. Suruali zao nyingi huwa za...
45 Reactions
131 Replies
18K Views
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu. Kama wewe ni mwanaume mfupi na pia mnene, vazi la suti halikufai, achana nalo, vaa tu kanzu au kaunda suti uende kwenye mtoko wako. Vazi la suti liko...
9 Reactions
72 Replies
16K Views
Habari zenu wana jamvi.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ieleweke wazi dhumuni la UZI huu si kutaka kuwakebehi watu wenye tatizo hili ila ni kupata maoni na ushauri jinsi ya kulitatua tatizo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom