Siku ya pili katika ziara yake Uingereza, Donald na Melania Trump walikaribisha wageni wao katika chakula cha jioni.
Gauni alilovaa Melania katika shughuli hiyo limebuniwa na kushonwa na Givenchy...
Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu...
Kwa wale wazee wa bata; hii wiki ni ya kukumbukwa sana maana kwa wale tuliokuwa hatujafunga tulikuwa wapweke sana kila kiwanja kilikuwa kimepoa: ila tokea eid todate mambo ni motoooooo..... hii...
Baada ya serikali kufanikiwa kwa asilimia kubwa kukataza mifuko ya plastic naomba sasa ikataze mawig na makeup
Najua serikali ya awamu ya tano ni sikivu hvo naamini italifanyia kazi suala hili...
Sijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo.
Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena.
Sasa...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada,
Kwa wale wajuzi na wazoefu wa masuala ya mavazi. Nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? Kwa mfano shati jekundu lina match na suruali gani?
Mwenye...
Jaman mnao uza vipodozi hapa.mwanza washaulini wateja wenu ambao ni wadada maana unakuta mtu mmoja anarangi zaid ya nne jaman?
Sura ina rangi yake, mikono rangi yake,makalio rangi yake,mapaja...
Wataalam wa ngozi tusaidiane. Nataka kuua ndevu kabsa mana zmeamua kuwa nyeupe au mvi mapema. ndevu zangu ni nying sana za kurundikana. Mtaalam wa salun kanambia hata magic powder ninayotumia kwa...
Naomba wadada mje hapa; iteni wenzenu tuongelee suala la "vigodoro"
Kwanini tunanyanyapaana kuhusu shapewear jamani? Eti mtu anasema "ridhika na Mungu alichokupa". Kweli?
Nywele za bandia weka...
Baraka za muumba wa Mbingu na ardhi zikawe nanyi daima.
Jamani naomba kuuliza..hv unaweza vaa harusini (mwanamke) Suruali ya kitambaa?yaani nivae suruali na top na kikoti juu?
Nina harusi leo ya...
Ndugu wapendwa ninayo tenda ya kuuza Oriflame product.kama vile
#lipsticks
#soap bar
#lotion
#dawa ya nywele
#dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu
#dawa ya miguu iliyopasukapasuka
Navingine. Kama...
Kama kinavyo jioneshe kichwa cha habari waungwana mimi ni mkaazi wa Dar lakini ni mtu wa kutoka sana bara hili la Africa kumenifanya nisizijue sehemu nyingi za jiji hili naomba kwa anaejua sehemu...
Wapenzi habari zenu? Nawapenda sana
Haya nisaidieni mrembo mwenzenu nirembuke na mimi. Nahitaji steaming nzuri ya kufanya nywele zangu zijae.
Nywele nimeweka dawa ya Olive Oil. Je, ni steaming...
Unakuta mtu kamaliza perfume anatunza chupa, kamaliza lotion hatupi kopo dressing table imejaa kama dampo. Maviatu na nguo ya miaka nenda rudi havai, hagawi yanajaza tu space.
Jikoni sasa ndio...
Ndg zangu leo tuongelee aina za vifaa vya makup zilizobora na bei zake
Naanza ...lipstic aina ya huda," hudumu masaa 24, no nzito ukipaka haiachi alama bei elf 5,
Tuendendelee kujuzana vingine...
Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.