Sujui hivi viumbe nani aliwaroga ubongo na kuamini kuwa na ngozi nyeupe ni dili duniani. Kwa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukifika utawaonea huruma dada zetu miguu ina rangi nyeusi na nyeupe kama...
Ni kama swali la kitoto lakini nimeuliza hivyo kwasababu mimi ni mvaaji wa saa mzuri tu sasa imefikia hadi mkono wangu umepata alama nyeupe pale ninapovalia saa (yaani ngozi imebadilika rangi...
Njia rahisi ya kunyoa ndevu zako.
Mahitaji
1. Sabuni ya anti bacteria (detal original I.e zipo za aina nyingi)
2. Cream shaver (sio lazima maana wengine zinawaletea vipele)
3. Mafuta halisi ya...
Jamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza...
Hello wapenda urembo wenzangu?
Japokuwa mie mgumu ila kwenye swala la ngozi nipo makini...
Nawakaribisha katika uzi huu tushee njia kadha wa kadha za kung'arisha ngozi na kuifanya iwe laini...
Habarini wakuu wa hili jukwaa la urembo..
Mimi ni boy katika maisha yangu nilishatamani kuchora tatoo kwenye mkono ila ndoto kidogo zikanitisha ila kwa sasa napenda nichore tatoo.
Je mnanishauri...
Habari
Nina rangi ya maji ya kunde, kwa mwenyewe kujua mafuta mazuri yasiyochubua, Ila yanalainisha ngozi na kuiweka nyororo.
naomba kuyajua.
ngozi yangu ni ya mafuta.
Asanteni..
Akina dada mtakuwa na majibu sawia. Nataka kumpa mtu zawad ya kitenge kizur na cha class A. Akashone nguo. Sijui nakitambuaje au nakipataje kitenge kizur sana dar. Sina mgogoro wa bei bali...
Habari zenu wandugu,
Naomba kufahamu ama kujuzwa kama kuna mahusiano kati ya kuharibika kwa ngozi na unywaji wa pombe kali/bia? Na kama ipo ni kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho nanunua saa ya mkononi ilikuwa Tsh elfu 3000. By then ilikuwa saa kali tu.
Sasa siku hizi naona marafiki wananunua saa hadi za laki mbili.
Je, hizo saa za gharama huwa na nini cha...
Mkiamka asubuhi msikurupuke tu kuvaa madela utafikiri kuna watu mlitoka kuwachamba ndotoni.
Pigeni mswaki vizuri sio kubrash juu juu na kusukutua as if mnachelewa mahali, pigeni mswaki na dawa...
Wasomi wala hawaangaikagi sana na kupendeza pendeza, labda ni kwa sababu kulingana na Maslow's hierarchical of needs, hilo sio tena suala la kipaumbele kwao..
Ila sasa wenzangu na mimi wale wenye...
Haya mafuta achaneni kabisaah
Unakua na ngozi nzuri hususan usoni na kila mahali ila white dots kwenye mikono au miguuni havitokuacha salama
Wengine hadi michirizi imewaletea....hii ni hatari...
Ikiwa mtu anapenda kuvaa miwani huwa kuna brand flani special, yaani kama ilivyo katika bidhaa nyingine kama perfume au lotion na kama ipo ni brand gani nzuri?
Na je kama mtu hupendelea kuvaa...
Mapenzi ni usafi na si uchafu.
Hakikisha unapiga mswaki na kuoga kabla ya tendo. Hii uongeza uwezo mkubwa kwa mwenzako kuwa na hamu na wewe kwenye game na inaongeza hamasa mwenzako kubarizi kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.