Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habarini wadau. Naomba kujuzwa wapi naweza pata perfume ya Olympea na bei yake? Ahsanteni.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa. Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar. Asante.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari njema kwa wale mashabiki wa muziki wa lady jaydee pamoja na ma haters wote, kama inavyoonekana kwenye picha , kama hujui kusoma nitakusaidia ku translate maana wengine ata ku google hawajui...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Diana alikuwa binti mrembo sana mtaani kwao. Alishinda na bibi yake tangu akiwa mdogo, hii ilitokana na kuvunjika kwa ndoa ya wazazi wake na mama yake kurudi kwao Burma. Vijana wengi...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana kama mwanamke jaman? Wengine wanavaa suruali zinabana mpaka vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi. Sasa umkute ana matako...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali. Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka. Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo. Napenda kutumia vitu vyenye quality...
9 Reactions
106 Replies
13K Views
Wakuu, Hivi huu mtindo wa nywele kwenye ofisi unakubalika? Hasa hizi ofisi za kuajiriwa.
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Habari zenu? Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni. Sasa nimeshauriwa...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari waungwana Tuambizane ni mafuta gani mazuri kwa kutumia usoni kwa normal and dry skin.
2 Reactions
170 Replies
78K Views
UTUMIAJI WA FACE WASH AU FACIAL CLEANSERS HUPENDEZESHA ZAIDI USO WAKO U hali gani rafiki yetu na mpenzi wa mambo ya vipodozi na muonekano wa mwili? Karibu katika somo la leo linalohusiana na...
2 Reactions
7 Replies
22K Views
Habari wakuu, Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani. Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana...
6 Reactions
63 Replies
27K Views
Kuzuia ama kupunguza stretch mark za tumboni kwa wajawazito, asubuhi na muda wa kulala unakua una massage tumbo lako taratibuuu na mafuta ya Nazi Au Oliver oil. Chunusi, paka unga wa dengu na...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Acha kunyoa ndevu mara kwa mara zipunguze tu. Aidha huwa unanyoa kwa kutumia machine au razor na huwa unatumia shaving cream na after shave au lah! Inawezekana hizo cream ndo tatizo kama huwa...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari wapendwa. Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu. Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na...
4 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu habari zenu? Natumai mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maisha hususani kipindi hiki cha huu ugonjwa wa corona. Niende moja kwa moja kuhusu mada hapo juu, naomba kujuzwa bei ya jumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna sketi nilinunua kwajili ya kufata bei cheap kwaiyo nikajikuta nimenunua sket nying muundo ule ule kasoro rangi hadi naulizwa nilizipendea nini. Hata mwenyewe sometime naona shida hadi kuvaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza wasichana hasa wanatakiwa kuvaa nguo gani ndani. Wengne nimeona huvaa chupi pekee, wengine chupi inayobana wengine chupi na underskirt, wengine kuvaa tyt pekee bila chupi...
0 Reactions
32 Replies
17K Views
Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa , wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku...
1 Reactions
79 Replies
16K Views
Hebu nisaidieni wenzangu, ukiwa unatoka mfano Africa kusini na ndege yao kuja Tz, wanapuliza kama perfume/air refreshner kwenye ndege wanadai according to international blah blah. Mie nafkiri...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nisaidieni hii ni ipi nzuri ya kupaka kuondoa nywele kwenye kwapa au ndevu,maana biashara za kunyoa kwapa na shaver nishazichoka Ni ipi hair remover nzuri? Bei jee? Nipo serious maana kuna duka...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom