Habari yenu wana jamii forum nina dada yangu amenunua kipodozi hiki na hajui kama ni salama au lah na je kinaweza kikuwa na viambata hatati ? ntakuwa mwenye shukran kwa kijuzwa
Tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki kuwa pale pale.
Wadada wote wenye nywele za bandia wana asili ya uchafu narudia asili ya uchafu. Nasema ni wachafu kwasababu nnapokwenda kuoga maji na...
Wanajukwaa kama mada inavyojieleza hapo juu mimi ni mama wa makamo( miaka 35) nimejishangaa ghafla nimebadilika umbo langu bila kutegemea nilikuwa na umbo zuri kwa kweli sikuwa na tumbo kabisa...
Habari,
Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga.
Yes i know wengi mta-take...
1. Muungwana wa sasa usali na kuamini MUNGU yupo.
Kama sote tujuavyo MUNGU ndio kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku kwani tunapewa pumzi bure na pia anatulinda na maadui tunaowafaham na...
Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.
Sasa hivi nina kg70 kama unapiga gym na wewe ni mnene...
Kuna demu wangu amenitaka nipake make up kwenye birthday yangu, mimi nimekataa Sasa amenuna anasema mimi ni mshamba, mimi kupaka make up huwa naona kama ushoga hivi, hivi ni kwangu peke angu au...
Naomba mnijuze ni aina gani ya cream ni nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara huku ikimaintain natural color...
Kuna haya mapenzi mubashara ya mume na mke. Au hata wapenzi, sanasana wale wanaokaa nyumba moja hupendelea kuchaguliana nguo ya kuvaa kwa ajili ya kazini, kusafiri, mitoko ya jioni.
Kuna...
=> Vyakula unavyokula hubeba 80% ya mapambano ya kupunguza uzito. Kula vyakula vya wanga kama viazi, wali na ugali siku ambazo utafanya kazi au mazoezi magumu tu ili kutoongeza uzito/unene.
=>...
Sirudii tena huu upuuzi. Kwa mara ya kwanza tangu niijue hii dunia leo ndio nimefanya scrubb. Leo jioni niliingia saloon sijui mnaita baba shop nilienda kwa ajili ya kutengeneza nywele na ndevu...
Lijitu zima kabisa linatoka kwake Mkewe na Watoto wake wanamuona kabisa jinsi alivyounyuka / alivyopendeza na Vazi lenye ' heshima ' kubwa duniani na nahisi hata huko Mbinguni pia la ' Suti '...
Wasalaam, kutokwa na jasho ni kitendo cha kiafya ila ikizidi inageuka kero na kukosesha amani.
Huwa najisikia ovyo sana kuona nguo yangu imeloa jasho sehemu ya kwapani kwa jua la sasa yani nguo...
Historia ya kupaka rangi kwenye midomo kwa kusudi la urembo inaonyesha kuwa jambo hili lilianza zamani sana na inasemekana kuwa lilianzia huko Misri.
Wanawake wa Kimisri wakati huo walikuwa...