Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Naomba kusaidiwa kuhusu sifa za kuitambua kanga original
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina. Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana...
6 Reactions
270 Replies
51K Views
Wakuu msaada apo mwenye kufahamu zoezi la kutengeneza shingo tafadhali
1 Reactions
57 Replies
14K Views
Habari za mda huu sasa kuna ttz moja huwa linanisumbua nywele zangu hazikui kabsa yaaani lkn nimejrb kutmia dawa ya kuza bado ziko hivyo hivyo ombi langu kwenu kama kuna mtu anajua dawa nyngn za...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Kuna maelfu ya perfume madukani, lakini sio perfume zote ni nzuri kwa kila mtu, kwa hiyo ni muhimu kuchagua perfume ambayo itamfaa mtumiaji ili kuepuka disappointment. Perfume unapoinusa...
9 Reactions
9 Replies
8K Views
Mahitaji Mchele nusu kikombe Nyanya moja Baking powder Saga mchele upate unga ,changanya na vijiko viwili vya baking powder ponda nyanya nayo changanya huo mchanganyiko jipake kwenye kwapa...
5 Reactions
16 Replies
13K Views
Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaaam Moja kwa moja kilicho nifanya niandike Uzi huu Ni hii hali au tabia ya wadada wanao tumia mikorogo yaan mafuta ya kujichubua ngozi Unakuta mdada alikua mweusi Kama chungu cha maharage...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Tui la nazi lina protini na mafuta ambayo vitasaidia kope zako kukua na kuwa ngumu zaidi. Matumizi ya mara kwa mara ya tui la yatasaidia ku-nourish na condition kope zako. Weka tui la nazi katika...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku nzima. Naomba kujuzwa juu ya hizi nywele za kipilipili. Je zinakuwa za kurithi(zipo katika genes zetu)? au lah. nimeuliza hivyo kwa sababu binti yangu (2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
FAshenista wanaiita LBD(Little black dress) mwanamke yyt anayependa kwenda na wakati lazima awe na gauni nyeusi kwenye wardrobe yake! Gauni jeusi huweza kuvaliwa popote pale,sio kila mtoko...
11 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwenye matukio maalum watu wanpenda kupendeza, wanapenda waonekane wamependeza mara nyingi watu hupendelea kuvaa vazi la suti ili kupendezesha zaidi muonekano wao. Lakini suti sio vazi...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Je wajua kuwa licha ya kuwa manukato/uturi, pafyumu (perfumes) zina faida kadhaa kimwili ikiwa ni pamoja na tiba? Fahamu faida 8 za pafyumu 1. Ni tiba ya kutumia harufu (aromatherapy) 2. Harufu...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Wewe Dada wa Oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya Oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa Kwa taarifa yako hata kama mtu angesoma hasomi sasa, nani anamuda wa kufungua...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman eehee, leo jumapili ndo siku ya kufanya maandalizi ya kesho jumatatu sio muda wa kuzungukaa mji mzima, Basi jaman mkumbukeni kufuaa vijupi na visidiria kwa wanawake wennzangu na wale wavaa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
kwa wale warembo wa kwenda na wakati kazi kwenu tukutane 26.04
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Salamu wanajukwaa, Husiana na kichwa cha habari husika ningependa mawazo yenu katika jambo hili. Zawadi ni kwa ajili ya mzee wa makamo.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kina dada naombeni msaada wenu, chupi nzuri za kike za pamba nazipata wapi hapa mjini Daslam. Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu...
5 Reactions
177 Replies
24K Views
Swali la kizushi hivi imetokea umevaa underwear, unataka kwenda mahali ukajicheki kwenye kioo ukaona haijakupendeza ukaivua je utaiweka kwenye underwear safi au itabidi uifue kwanza?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana...
1 Reactions
64 Replies
17K Views
Back
Top Bottom