Nywele zinazovaliwa kila siku na kina dada na kina mama vina uhusiano mkubwa na maiti waliozikwa kisha watu kwenda kuchukua nywele zao makaburini au mahospitalini.
Kinachoshanga zaidi ni kwamba...
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu.
Mimi...
Halow,
Mimi ni kijana wa miaka 21. Nataka nianze kupiga gym but kuna tetesi nazipata kuwa kupiga gym katika umri mdogo kuna madhara.
Naombeni ushauri but napenda sana kupiga gym.
Nimejitahidi kukaa na nywele kwa miezi sita, lengo ni kuzi-maintain ili nywele ziwe ndefu ndo iwe kama style yangu mpya.
Kufikia sasa nimedhamiria kwenda salon kuzinyoa tu maana nimeshindwa...
Wadau samahani sana,
Kuna mambo yananitatiza, wadada wanaoweka kucha bandia mikono yote miwili, uwa wanafuaje, kuogaje, kutawaza hapa watadai kuna toileti pepa na vipi papuu zinaogaje?
Naomba...
Habari za wakati mpedwa msomaji! yaweza kuwa mpaka sasa unajiuliza ni vigae gani unataka kutumia kwenye sehemu/vyumba vya jengo lako mfano sebuleni, jikoni, vyumba vya kulala, stoo, chooni...
Wakuu,
Yaani ninaoga najisugua vizuri lakini nikipitisha mkono bado naona kuna vile vi uchafu vinatoka.
Ni sabuni gani nzuri ya kuogea ambayo inaweza kuondoa uchafu wote?
Naombeni ushauri wanabodi
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf...
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu...
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya...
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.
Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya...
Umofia kwenu!
Kuna mavazi ambayo yamezoeleka kuvaliwa misibani au kwenye mikusanyiko yeyote ile iwe harusi au sherehe zingine!
Binafsi nahitaji kuelezwa au kujuzwa kama huwa ni fashion au ni...
Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.