Baada ya onyo kwa wanaocheza uchi napenda niwajuze dressing code ya nchi jirani kwa wafanyakazi. Ni nzuri na inaleta heshima.
Female officers
To dress in a skirt or dress that is not above the...
Harufu ya kwapa husababishwa na bakteria ambao huvunjavunja protein iliyopo kwenye jasho na kutengeneza asidi yenye harufu kali.
Dawa ni kuua hao bakteria au kuzuia wasizaliane.
Hizi deodorants...
Nadhani boys/men wenzangu mtakua shahidi kwa haya mambo juu ya hawa wasicha.
>> Unakuta msicha kajipamba kapambika/ Kajiremba karembeka boy unamtokea unavuta mzigo getoni, baada ya kutaka kuanza...
Hapo vip!!
Kunajamaa angu mmoja na nimebishanae sana eti ameniambia sometime yeye kunasiku anapiga misele yake akiwa amevaa suruale tu pasipo kuvaa chupi au boksa ni nijamaa wa dar.Nikawa...
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye...
Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.
Nini maoni yako
Habari wakuu,
Naomba mnisaidie ushauri,
Nina nywele ndefu tu ila nilikuwa naweka dawa ya kawaida aina ya movit na sasa nina kama miezi mi 4 sijaweka dawa nywele zimekuwa kama hazikuwa na dawa...
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh Mama Sophia Mjema Akizungumza Machache wakati wa Mahafali ya kwanza ya Chuo cha Manjano Beauty Academy .Ambapo amewataka Wanawake Kuchangamkia Fursa ya...
Nmemuona Dr Hamisi Kingwangalla na kirungu mkononi hapa bandarini yani nilikuwa nasubiri anihoji maswali nimjibu kunya anyanyue kirungu chake walahi angepambana na jembe moja matata!
Hellow
Kwa mnaotumia mafuta ya castor oil kwa nywele naomba mnijuze je ni kweli yanakuza nywele kama yanavoongelewa?na yapi yanafaa kati ya yale meusi yalotengenezwa kiasil na haya mengine...
Fanya mambo yafuatayo ili hali hiyo isitokee tena.
√ kata nywele sehem za siri, kisha chukua maji ya ukoko wa ugali unawie sehem hizo zinazonuka( hakikisha unafanya hivi ukiwa umeoga) fanya Mara...
Wapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa
Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda...
Habari wakuu hamjambo najua kwa wanaume yashawatokeeni saana unakuta mwanamke anabonge la mzigo akipia watu macho kodoo. Binafc kuna manzi nilimfukuzia kama mvua mbili ananizungusha tuu.
Siku...
Mamboz,
Mimi ni mpenzi sana wa matte liquid lipsticks na kuna duka linajulikana sana ndo huwa nanunua hapo
Week iliyopita nilitoka kununua hizo lipsticks na sikuzitumia, sasa leo nikachukua moja...
Na tusikie dada/mwanamke akilialia eti hana bwana au maisha magumu au sijuwi ni kule...
Kuna wenzake wana shida kule yeye lakini wana enjoy life tu, pamoja na majanga ya kutisha kimaisha...
Miss Tanzania, Lilian alivaa vazi hili huko Marekani, Las Vegas. Maelezo ya picha hii yanasema vazi hili ni bora (the best) kwa kuwakilisha utamaduni wa Mtanzania.
Wanamitindo mnisaidie.
Kuna style nyingi za kunyoa hasa kwa wanaume, miongoni ni kiduku na upara
Kati ya hizi style ipi ni nzuri na ya kiheshima katika jamii, maana style zingine kama kiduku akinyoa mtu unaweza...
Heri,
Nakiri kua nina yapenda sana maji kupita kiasi. Naweza kuoga hata mara 6 kwa siku. Sipendi jasho hivyo huni fanya nioge mara kwa mara.
Sasa basi kuna dhana kua " uki oga mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.