Skwati (squats) ni moja ya mazoezi mepesi na muhimu kwa mwili wa binadamu. Aina hii ya mazoezi ni nafuu na salama yasiyo na gharama yoyote na yanayoweza kufanywa nyumbani na bila mahitaji ya vifaa...
Ni wachache sana wanabahatika kuwa navy usoni...ni vidude flani vigumu vyeusi umbo dogo kama punje ya mtama.
Wengine vyao huwa vikubwa..kama jokate kidoti.
Nini maana ya hivi vidude?
Vina uspesho...
Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini...
Wakuu nataman sana kufuga rasta fulani ivi zisiwe ndefu sana ziwe fupi kiasi afu nywele zisiwe nyekundu zionekane nyeusi na rasta zakusimama
Ninanywele ngumu sana za kisinga singa afu huwa...
Wadau wa Ujenzi zone blog kuna vitu tunavipuuzia kwa kuhofia gharama au kwa kutokujua.
Kwa mtazamo wangu kama umeweza jenga nyumba ya milion kadhaa basi bado hautashindwa kuipendezesha kwa frem za...
Habari zenu warembo na watanashati,
Mimi naombeni msaada wenu.
Nimetoboa masikio yapata wiki ya pili sasa. Nilitoboa kwa sonara na nikapewa na vihereni orijino vyenye mchanganyiko wa dhahabu na...
Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni...
Aina za Mitoo na Foronya Ya Njee Ya Nyumba!
Mitoo ya njee haina utofauti na ile itumikayo ndani ya nyumba kwa matumizi tofauti; Kwa mfano, matumizi ya chumbani kwa kulalia, sebuleni kwa kuegemia...
Habari! wakuu naweza pata maelekezo ni wapi naweza pata makeup kit kwa hapa Dar ni maduka yapi hasa,huyu mtu anayehitaji hii kitu ni beginner ko ni vitu vipi essential zaidi anahitajika asivikose...
Wajameni naombeni mnijuze mafuta mazuri ya kumpakaa mtoto wa miez nane na kuendelea sehemu ya baridi,maana olive oil mepes so anapauka parachute nayo hivohivo vaseline yamemgomea yalimtoa rashes.
Habari zenu wana JF
Jamani mwenzenu Kuna Tusuruali twangu tutatu tweusi tunazidi kupauka...
Nataka ziwe nyeusi zing'ae Kama zamani...
Nifanyaje eti [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Wataalamu wa upasuaji wamegundua kuwa kuondoa nywele kwenye eneo la mwili kabla ya kufanya upasuaji, kunaongeza hatari ya athari na maambukizi katika ngozi.
Imeelezwa kuwa unaponyoa nywele zote...
kwa warembo wa jf naomba mnieleke namna ya kufanya steaming kwa njia ya kienyeji bila kutumia yale makemikali!
msaada tafadhali,nataka nimpendezeshe wifi yenu naturally.
Usafi umekuwa mtihani kwa watu wengi , kwa kifupi sio kila mtu anaupenda usafi, ukikutana na mtu msafi basi ni hobby. Sikuwahi kujua kama usafi inaweza kuwa hobby ??? Kitu ambacho ni lazima...
Aiseeeee
Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa
Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu...
Wakuu nadhani mko poa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii.
Kama ujanipata hebu...
Jamani hili halipo kwa ma barmaid au Dada zetu wanaotoka familia duni. Lipo kwa Dada zetu hasa wanaofanya kazi katika makampuni makubwa na wana nafasi ambazo pasi shaka zinawaingizia kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.