Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi...
4 Reactions
3 Replies
6K Views
Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike. Kwa mfano...
21 Reactions
174 Replies
52K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wapi au kiwanda kipi naweza enda wakanisaidia kunitengenezea sabuni na lotion za alovera. Nahitaji sabuni na lotion zenye kiwango kikubwa cha alovera not less than...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi wetu huwa tunaishi na wazazi na ukitoka kwa wazazi unakwenda boarding school baada ya hapo chuo na kuanza kazi. Hakuna formula moja ya maisha, kwa sababu hii na ile inabidi uishi na ndugu...
22 Reactions
93 Replies
8K Views
Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia haya mafuta, mimi ni mweusi tii, na ngozi yangu ni kavu nimejaribu kutumia aina mbalimbali ya mafuta lakini yamekua yakinikataa. Kuna mtu kanishauri nitumie...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
TRUE STORY Leo niwape tu story yangu long time kabla sijaoa. Kipindi naishi kisela Ghetoni pale sinza mapambano. Rafiki angu kipenzi nadhani mnamkumbuka yule aliekua amepatwa na maswaibu ya...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini wakuu sijui ndio hili jukwaa husika ama laa nyway moja kwa moja husika na heading yangu kiukweli dawa za nywele za sikuizi hazina ubora kabisa naomba mamlaka husika ijaribu kuzichunguza...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini ndio majukumu au nini hii. Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hiiii ndo fashoooooniiii bwana,,,, mmmh kwel hatar
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wee tupia fashion yako kali
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu...
3 Reactions
86 Replies
78K Views
1. Kama hutumii mafuta ya hiyo splash then kabla hujajipulizia kwenye hayo maeneo paka vaseline oil then spray 2. Spray after bath and before dressing 3. Ukishapulizia usiifute let it sink...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Aisee huwa sipendi kukaa kwenye daladala na mdada au mmama akiwa mabega wazi. Unakuta anakugusa kwenye bega au shati huku anatoka jasho kwapani kama chemchem. Badilikeni
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughurini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Calisah....anadai hakuna shida kama amelamba mkwanja mkubwa yeye hizi maviatu anavaa tu. Na kama nawe wataka kutangaza bidhaa za hivo weka mkwanja mezani biashara itakwenda bila shida yoyote. Haya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna aina nyingi za mapambo yanayotumika katika kupendezesha nyumba zetu. Aina mojawapo ni maua halisi (natural flowers) ambayo huleta muonekano mzuri, uhai na harufu ya kuvutia. Ili kuweza...
3 Reactions
9 Replies
8K Views
Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja, Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za...
10 Reactions
109 Replies
15K Views
6 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom