Ulishawahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha...
Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka...
Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri.
Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa...
Wigi huvaaliwa zaidi na wanawake wenye asili ya Afrika au Wamarekani wa saili ya Afrika.
Chimbuko halisi la uvaaji wigi ni ubaguzi uliokuwepo wakati wa utumwa ambapo wale wenye ngozi nyeupe na...
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unataka watu wakutambue kwa namna gani.
Wakati...
Habari zenu
Naomba leo tuambizane ni mafuta gani au dawa gani unayoitumia pindi unapoa ndevu au sehemu za siri na kukufanya ngozi yako ibaki nyororo isiyo na vipele
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari JF,
Ninaishi sehemu kunakopatikana maji ya chumvi kwa wingi, ni eneo nililohamia hivi karibuni. Nilichogundua ni kwamba maji haya yakitumika kufulia nguo huwa zinapoteza ule umaridadi...
Wadau,
Hii nimeishuhudia sana Arusha hasa sehemu za Tengeru kwenda mbele. Utakuta mama kaualamba vizuri kweli mfano gauni zuri, au dila, su sketi ndefu nzuri au suruali pana ya heshima.
Utakuta...
Katika miongo kadhaa iliyopita, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususan na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana mithili ya mtu...
Habari waungwana, ni sehemu gani kwa hapa dar naweza pata jeans na shati og kutoka USA au sehemu nyingine ambazo sio za kichina?
Nataka jinsi kama anayo vaa vandame ( pure og).. sio hizo za akina...
Warembo wengi huwa tunajitahidi kuvaa nguo zitakazotukaa vizuri kulingana na maumbo yetu lakini viatu tunavaa tu vyovyote tunavyoona vizuri. Hii si sahihi!
Kama mjuavyo, muonekano mzuri wa mavazi...
Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina...
Mambo ya ubunifu hayo sasa sijui utanunua sahani kwa ajili ya chakula nyumbani au kwa tupambe ukuta? Au ungo kwa mimi ningetumia vile viungo vidogo vidogo tena siku hizi unaweza kuzipaka rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.