Nimekuwa natatizwa sana na nyaraka za serikali kuhusiana na mavazi, hususani Waraka wa Utumishi Na. 1 wa mwaka 1971 unaohusu mavazi ambao ulitokana na mwongozo uliotolewa na Chama cha TANU kuhusu...
Kabla hujaanza kujihusisha na mambo ya makeup ni vitu vingi sana unakuwa hujui na nadhani kuwa bado wapo wale wasiojua utaratibu wa makeup vizuri, kama vile makeup products au makeup tools..na...
Jamani katika vitu vinavyonikela sana ni jinsi ya kutoa nywele za makwapani yaani ni shiidaaa kuna kitu kingine nje ya mkasi ama wembe kuondoa nywele za makwapani? kutumia wembe ni hatari...
Loweka miguu inayopasuka kwenye maji ya uvuguvugu na yaliyoongezewa sabuni
Kisha loweka miguu kwa muda wa dakika 10 hadi 15 hivi kwenye mchanganyiko wa asali kikombe kimoja ndani ya galoni moja...
Ndani ya nyumba kuna meza za aina nyingi kama vile meza ya kahawa, meza ya kwenye korido, meza ndogo za pembeni mwa makochi na pembeni mwa kitanda bila kusahau meza ya kuvalia na pia wapo baadhi...
Habari za majukumu wana jf.
Kama title inavojieleza, naombeni ushauri wenu kuhusu rangi nzuri za kupaka milango na madirisha ya nyumba.
Natanguliza shukrani kwenu.
Mambo vipi wadau,
Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mimi kuweka dreads kichwani.
Ila napenda kufahamu mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume...
Hivi unajua kuwa unaweza kuwa mrembo kwa kutumia vitu vya asili tu?. Ndio inawezekana!. Wengi wetu tumekariri kwamba, ili uwe mrembo na mwenye muonekano wa kuvutia machoni pa watu, basi ni lazima...
Habari zenu ndugu zangu,
Nina nywele za asili yaani natural hair sasa niliweka bleach yaani imefanya nywele kukatika na kuwa dhaifu.
Naombeni mnishauri nipake nini niondoe kabisa bleach.
Tunapozungumzia mitindo na utanashati, tunalenga mtu binafsi pamoja na mazingira yanayomzunguka, kuanzia mavazi yake, mwonekano, miondoko, mazingira ya nyumba au makazi, yanayopaswa kuwa katika...
Habari zenu ,
Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya...
Sweeties, nataka kuweka curl kwenye nywele zangu nina nywele ndefu zenye dawa ila mbele na nyuma zimekatika sana na sasa hivi zimeotea balaa, so nina mpango wa kuzipunguza ziwe saizi ya kitana...
Urembo na Mapambo
Bangili, hereni na mikufu unayoitumia mara kwa mara vinafaa vitundikwe kwenye stand maalumu mahali panapofikika kiurahisi mfano juu ya dressing table ili iwe rahisi kuvichukua...
Wadau na Wajuzi wa fasheni mavazi gani stahiki kwa wanamume wafuatao kulingana na hali zao( kwa mfano aina mavazi na ranging zake n.k)
a) Mtu mwanamume mrefu mweupe
b) Mtu mwanamume mrefu...
Watu wengi hupenda sana nywele zao ziwe katika muonekano mzuri na zenye afya tele,katika hali ya kutafuta mafuta ya kuweza kuziboresha zaidi watu wengi hujikuta wakitumia gharama nyingi katika...
Bila shaka kabati la vyombo ndio fenicha kubwa zaidi kwenye chumba chako cha chakula ikifuatiwa na meza, kwa maana hiyo linachukua nafasi kubwa zaidi ya muonekano wa chumba hicho.
Kwa kawaida...
Habari zenu,
Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu?
Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.