Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane ndefu( lengthenning), zionekane zimejaa/nene (thickenning)...
Jamani kuna mdogo wangu kafeli matokeo ya form IV sasa nafikiria kumpeleka katika fani za kujiajiri na nimewaza hairdressing na mambo kama hayo ya urembo.
Je , kwa hapa Mwanza ni sehemu gani...
Haya...kwa wale wapenzi wa sneaks hebu fungukeni.
Ni kicks gani mnazozipenda?
Cheki kitu cha Giuseppe Zanotti hicho....kimetengenezwa na ngozi ya chatu!
Ukienda Neiman Marcus kinapatikana...
Baadhi ya watu wamekuwa wanachukulia kirahisi ulaji wa matunda, lakini unapaswa kujua kwamba matunda ni muhimu kwa afya zetu kwani yanatukinga na magonjwa mbali mbali na pia hutengeneza muonekano...
Et jaman haya mafuta napaka wakat gan imean wakat wa kuosha au napakaa kama mafuta ya kawaida ya nywele nmeambiwa yanasaidia nywele
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa habari za weekend,naomba msaada wa kiushauri....nina sumbuliwa Sanaa na rushes (vichunusu,vipele) usoni hivyo kupelekea kupaka mafuta ya nazi tu,mm sio mpenzi wa tube(cream) za kutoa...
Hellow wapendwa naombeni mnisaidie ntapataje saloon au vyuo vinavyotoa mafunzo ya urembo,kama kusuka,make up kwa mwanza au ata sehemu nyingine tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wapendwa,
Natamani sana kujua jinsi ya kupaka makeup the basics tu, kila nikiangalia you tube videos za simple makeup naona makorokoro mengi mara foundation, primer, eye cream, lip liner...
Before beginning presenting on what has been bothering me for along long time,I would love to greet you all and also inform you that i will be using using swanglish to communicate.If you have a...
naenda moja kwa moja kwenye point...
hivi kama wanaume tumefikia mahala kuvaa suruali/jeans za kubana hadi ifikie..
1 -kuipandisha hadi kiunoni si chini ya dk 5 na kuchomekea vest na shati dk 5
2...
Wewe na girlfriend wako wote ni wanafunzi alafu unambiguous mzinga wa laki mbili binti wa watu inategemea atazitoa wapi? Ukisikia kuna jibaba la TRA linaghramia eti unamwita malaya hii ni sawa...
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???
Kama ujanipata hebu...
Leo ningependa nitoe shukurani zangu kwa Rais wetu JPM kwa kuongeza idadi ya wanawake wenye vipara au wenye nywele za kunyoa.
Ki uhalisia wanawake wenye vipara wameongezeka kwa kasi tofaut na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.