Habari ndugu zangu,
Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo...
Unakuta pochi ya mama au mdada kwa nje ni nzurii na ni ya bei ila huko ndani ni majanga. Mafoundation yamemwagika huko ,malipstick marangi. Mwingine aliweka msosi kwnye sherehe kikamwagika huko...
Ukiwa mwanaume au mwanamke upigaji sopusopu ni jambo la busara sana ili kukuweka mtanashati na mwenyekuvutia muda wote kwa kuondoa uchafu na pia kuondoa mafuta ambayo yana kawaida ya kutanda...
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba.
Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
Asalaam
Tuambizane uvaaji wa nguo kulingana na mazingira husika kama kwenye sherehe,ofisini,unatoka out na babe,kanisani uvaeje,safarini,safari fupi lets say umeenda shoping ukiwa home uvae vipi...
Wanajamvi,
Naombeni mnisaidie,
Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani...
Wanawake wengi hupenda kubea mikoba kwa ajili ya kubeba vitu atakavyohitaji kutumia muda atakaokuwa nje ya nyumbani au pindi dharula itakapotokea. Imezoeleka kwa wanawake wa rika mbalimbali...
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.
Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya...
Habari jamani mimi ni mweusi lakin sio weusi ule uliofifia sana niseme kama maji ya kunde lakini tatzo miguuni ni mweusi sana yaani kuanzia kwenye kiwiko cha mguu kwenda chini
Situmii cream ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.