Unakuta shati la Gucci linauzwa shillingi laki tano za ki- bongo na wakati mashati mazuri ya Egyptian cotton yanauzwa Tshillings 50,000 lakini kuna watu Wataona ufahari kumiliki shati la Gucci...
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
Habari za siku wapendwa.. Nna shida na fundi nguo, awe anajua kushona mishono yote pia aweze kunichagulia mshono kulingana na umbo langu, asiwe na bei... Mwenye fundi anaemfahamu anielekeze plz
Nimejaribu kuwatafiti wadada kadhaa ambao mambo yao katika uhusiano hayako vizuri na wengi wao wamesuka vile vi dred...
Kuna siri gani nyuma ya hilo? Ni ile saikolojia ya kuwa am strong and I can...
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh.
Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani...
Habari waungwana
Naomba mrejesho kwa aliewahi tumia au anaetumia mafuta ya totem na je yanachubua au?pia ningependa kujua yametengenezwa wapi na bei yake pia ni sh ngapi!
Tangu nizaliwe sijawai tumia perfume lakini nafakuanza kutumia perfume kulingana na kazi Yangu je ni perfume gani nitumie
Nature ya kazi Yangu ni kuwakaribu na watu
Mnisamehe tu leo...
Suala la mwanaume kunukia kama mtoto wa kike linakera sana. Hii inatokana na kujipulizia mapafyumu. Mungu aliumba harufu za asili za kike na kiume tubaki na hizo.
Lets get...
Wanamitindo wawili wakati wa maonesho ya mitindo ya mavazi ya Stara Fashion Week yalioandaliwa City Garden, Dar es salaam.
Maonesho yalitumiwa na wabunifu mitindo wa Kiislamu Tanzania kuvumisha...
Hi JF
Ni kama uzi unavyojieleza, katika mishe zangu za hapa na pale mara kadhaa nimekutana na baadhi ya wadada warembo, watanashati, waliojipamba vizuri wakakolea ila ukiendelea kumtazama vizuri...
Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au...
Yaani kuna kama viupele vinanisumbua wiki ya pili sasa kuna dawa nimepewa hospitali moja ya private hapa mjini Dodoma haijasaidia sijui nifanye nini inaninyima raha sana.
vinawasha ila si sana...
Fundi ususi kwa bei poa anapatikana Manzese Bakhresa, nyumbani pia anakufuata (ila gharama itaongezeka kidogo), wasiliana nae kwa namba 0712721394 nywele zote zina range kati ya Tsh. 10,000...
Sababu inayofanya watu wengi wasianike chupi ktk kamba nje au hadharani tofauti na nguo nyingine ni madoa sugu "skid marks" hasa kwa chupi nyeupe, solution yake ni nini? Fungukeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.