Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi, kama heading inavyosema naombeni mnisaidie kama kuna dawa inaweza kukuza ndevu yaani kama zipo kwa mbali ziote haraka
Ahsanteni!
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata...
Habari wadau,
Mimi nina tatizo moja la uso wangu kuwa mwekundu sio sana lakini unakua mwekundu kwa mbali kama nikitembea sana juani, nikipika au nikipata stress. yaani nikihangaika kidogo tu uso...
Hellow jaman ushauri wenu mimi si mweupe wala si mweusi nipo kati asa nataka ning'ae zaid mafuta gani ambayo nikipaka yataning'arisha yani sio ya kuchubua nataka ya kung'arisha ngozi tu pia ngoz...
Nimekuwa mtumiaji wa mafuta ya mgando tangu nazaliwa especially babycare,family,mamis,Vaseline,na samona.Ila siku za karibuni ngozi yangu imekuwa haieleweki nimeshauriwa niachane na mafuta ya...
**** LOVE NATURE TEA TREE ****
Set hii hutumika kwa watu jinsia zote, yaani ya kike na ya kiume.
Pia ni kwa wale wenye ngozi yenye mafuta na kwa umri wowote.
- Husaidia kuondoa mafuta kwenye...
wanawake sisi sometimes tunajipenda utadhani hatutakufa.jana nilikuwa na shosti wangu mmoja hivi sehemu .huyu shosti tumetoka kijiji kimoja kwa hyo gene zake nazijua kabisa .
Ila mwenzangu ana...
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale...
Za leo wanajamvi,
Kwanini kwa 90% ya wanaofuga #RASTA na wanaofanya kazi za #Kuchora Huwa wachafu sana na wapo rafu kimavazi na kimwili? Huwa napata wakati mgumu kuwaelewa hawa watu, tatizo ni...
Wanajamii naombeni mnifahamishe.Kunawanaume wanavaa pete Mkono wa kulia Utamwona amevaa Pete mbili Moja Ina dude jekundu kwa juu ha nyingine ina dude la Kijani.je ni ulembo au kunamaana nyingine...
Mastaa wakubwa kama wafilamu na muziki hasa nchi za nje unaweza kuona zamani walikua wakijiachia na magarden love lakini saivi vifua vyeupe.
Wakuu tutaje hapa viondoa garden love kama ni lotion...
Swala la kuchagua what type of outfit katika matukio flani, flani kwa vijana imekua shida sana kwa hasa ukizingatia tumetoka kwenye local family zisizojali sana haya mambo.
Hapa nitalenga zaidi...
Wanabodi salaam,
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi kuna umuhimu wa kuvaa nguo za ndani, sawa iwe kwa mwanamke au mwanamme. Hivi hizi nguo za nje si zinatusitiri tayari?
Wajuzi waniweke sawa.
Wakuu,
Naomba msaada wa kujua nguo/fashion nzuri ya nguo za kuvaa za Me na Ke kwa mtu anaetoa mahari na kuvalishana pete.
Najua kuna wazoefu wa matukio kama haya.
Asanteni.
Wakuu mambo vipi,
Kwa mda sasa nimekuwa natumia mafuta ya Vaseline ila sasa nataka ku Upgrade.
Je mafuta gani mazuri na classic ya kiume mna recommend?
Bei I-range 20 to 30k Tsh.
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.