Habari wadau
Naomba mnijuze ni dawa ipi ya nywele nzuri, inaweza nifaa kwa hizi nywele zangu fupi?
Nikisema fupi sio fupi sna nasuka mpaka nywele sita, ila tatizo kipilipili kimezidi nataka...
Napenda sana fashion..hususani upate wa modeling yani hasa kwenye matangazo ya television na kwenye bao za matangazo ila sijajua, vigezo gani hasa hutazamwa na wanatasnia.
Wakuu nimekuja na uzi huu maalum kwetu vijana tuelezane njia nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma! Naamin hili ni shauku kwa vijana wengi mijini na vijijimi pia na ukizingatia wakati...
Mungu kawapa wanaume nywele za usoni: kwenye mashavu, kidevuni na mdomoni.Bila shaka alijua sababu za kufanya hivyo ila sasa baadhi ya wanaume (hasa vijana) huachia nywele hizo kujiotea hovyo na...
Habari.
Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa.
Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
Habari wanaJF,
Kwenye hili jukwaa mm ni mgeni, ila kuna idea moja naomba niwashirikishe : jana kuna jamaa angu kaja na hii idea akanielezea akaniambia na mm niendelee kufikiria. Yaan ni hivi...
Hamjambo wadau;
Napenda kufahamishwa kuhusu aina ya sabuni na vifaa ama mahitaji muhimu yanayotumika katika ufuaji wa vazi la shela ukiwa nyumbani pasipokuipeleka kwa dobi.
Wakuu Salaam.
Hizo brand hapo juu wana mavazi mengi sana kuanzia viatu, suruali, saa , underwear, kofia na kadhalika , cha ajabu kwa Africa ukitoa Nigeria, south africa, Uganda, egypt maeneo mengi...
Hii ni hatari sana!
Juzi nikapata Dada mmoja nikamtongoza akakubari, akanipanga siku!
Siku yakwenda kumgegeda sasa hiiiiiii! yaani nilichoona pale mbele nikichaka cheusi tiiiii, mwanaume...
Jamani ...mi huwa natoka vipele mara kwa mara usoni na sivipendi kama nini..ngozi yangu ni ya mafuta na huwa natumia sabuni za kawaida tu...naombeni ushauri nitumie nini ili niondokne navyo...
Salaam wanajukwaa,
Kwa miaka mingi nimekuwa nikitamani kuwa na kadoti cha shavuni (kama kajiuvimbe). Nikimwangalia Jokate anapendezea sana na kale kakidoti kake.
Naomba wataalam wa maswala ya...
Habari zenu wapenzi!!!
Naomba mnisaidie mimi ni mweusi kiasi wanaita maji ya kunde nina ngozi ya mafuta nataka kuwa na rangi ya chocolet smothy kama nimezaliwa leo
Nishaurini mtumie lotion gani...
Wadau,
Bila shaka mmeshatazama porn video za black. Sasa kuna yale mafuta wanapakwa wadada kwenye makalio then makalio yanang'aa na kunona zaidi.
Anaejua jina la yale mafuta na yanakopatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.