Habari,
Kuna mambo yanaendelea hapa duniani ni yakushangaza kwa wenye kutafakari,
Cha kushangaza zaidi ni mambo hayo kukumbatiwa pasi na kuhojiwa,
Kunielewa nini ninamaanisha, cheki attachment...
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.
Hata hivyo, wataalamu wa afya...
Naomba kufahamishwa kama madawa nazani yatakua ya kichina ambayo watu wanatumia kupunguza mwili je yana madhara yoyote kwa mwili? Na kipi bora kati ya kufanya mazoezi ili upunguze mwili na...
Jamani nyie wanawake wa kidigitali mnatuharibia kizazi chetu cha baadaye. Huu uvaaji wenu mnawafundisha nini watoto wenu.
Si bora mkae uchi sasa kieleweke. Miaka mingi mlikuwa mkisingizia ni...
Benefits of Apple CiderVinegar
1.Stimulates scalp to promote hair growth
2.Cleanses hair without stripping natural oils
3.Removes build-up from chemical products
4. Helps hair retain moisture for...
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.
Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au...
Wembamba wa nywele zangu unazifanya ziwe za kipili pili. Nawaza kama zingeweza kuongezeka unene zikawa 'stout' hili lingesaidia zinyooke na ningeweza kufuga afro....
Sasa nawauliza nifanye nini...
Salama wana jukwaa?
Naomba kila mwenye picha ya vazi lolote la harusi atupie hapa. Yote ya kike na ya kiume.
Itakuwa msaada zaidi ukisema ulinunua duka lipi. Na wale wenaouza haya mavazi watupie...
Mshukuru muumba kwa vile jinsi alivyokuleta duniani.
Usilazimishe lami ifanane na ugali.
Hiki ndiyo kitachachokutokea kama ukilazimisha lami ifanane na ugali
Just stay natural.
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu maana mwili wangu mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizuri, wale...
Habari zenu wana jf,
Bila kuwachosha na salamu nyingi naomba niende moja kwa moja kwenye swala langu, Siku si nyingi zijazo nami naenda ukweni kwa utambulisho rasmi (Si kutoa mahari) kwa wenzetu...
Naombeni wadada tushee idea ya stlyle nzuri za kusuka msimu huu wa sikukuu.
Maweaving naona kama yanachosha pia joto sana rasta nazo vilevile.
Tutoke vipi? Naomba tupeane ushauri hapa
Jamani wanaume hivi huwa hamuoni aibu kutembea kifua wazi na manywele kifuani kama msitu?,hivi yenyewe huwa hayanyolewi?
Unamkuta mkaka yupo busy comfortable kifua wazi na minywele yake kifuani...
Wapendwa,
Heri ya mwaka mpya!
Naomba nisaidieni mwenzenu,
Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.