Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu habari zenu, Bila kuchelewa mwenzenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili, ngozi yangu ina mafuta mpaka inanikera, nikitembea juani kidogo tu uso wote unajaa mafuta, chunusi ndio za kugusa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]
1 Reactions
92 Replies
22K Views
Habari zenu warembo na watanashati, Nilikua naomba kujua jinsi ya kutumia hivi vitu vitatu je, body splash, body spray na perfume vinatumikaje kila kimoja. Naomba kujuzwa namna sahihi i hope na...
4 Reactions
62 Replies
19K Views
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahidi angalau mfue boxer zenu kila Siku, nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu. Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi boxer zenu na...
23 Reactions
232 Replies
34K Views
Najua wengi wamekua wakitamani kupunguza mwili/unene bila mafanikio, unafanya mazoezi, unafanya diet llakini hupungui, Leo ntakupa somo ili uweze kupunguza mwili kadri unavyotaka wewe, utaambiwa...
5 Reactions
4 Replies
10K Views
Habari wana jf.niliwahi andika napenda kuwa model asanteni wote kwa ushauri mlionipa kwa sasa ndoto zangu zimeanza kutimia asante kwa wote mlionipa ushauri na kama MTU yyte atapenda kufanya kazi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
nimeshikwa na viarara usoni paka kwenye kifua sivipendi msahada kwa sabuni au mafuta ya kuviondoa kabixa vimekuwa kero kwangu sana tafadhali naombeni mnisaidi
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauliza hivi wadau kwani ni lazima kwa video queen au model kuvaa nusu uchi? Hawa watu wanaleta vichocheo vya ngono na ubakaji inabidi serikali iwatazame kwa jicho la 3 wanaharibu utamaduni wa...
2 Reactions
22 Replies
22K Views
Jamani warembo naombeni kujuzwa juu ya hii kitu "rose water" ni mafuta au? Na yanapatkana wapi na bei yake ikoje?
0 Reactions
14 Replies
20K Views
Watu wengi tumekuwa tukitumia vipodozi kama losheni, mafuta, sabuni, poda, krimu na pafyumu kila siku kwa malengo ya kupendeza na kuvutia. Pia tunatumia ili kuondokana na matatizo kama vile...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
bila kusahau age 28,kiatu navaa namba 15 kubwa je nifanye zoezi gani ili nifikie kilo hata 60
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
1 Reactions
27 Replies
12K Views
Necklaces Nzuri (princes&queen necklaces) kwa Tsh 15000 pekee
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya hasara ya mwanamke aliye hodari na kazi za nyumbani ni viganja vya mikono kuwa vigumu au vikavu.Kama unafua na maji na sabuni,kuosha vyombo,kusafisha nyumba,kubadili watoto nepi au...
2 Reactions
7 Replies
38K Views
Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
5 Reactions
119 Replies
22K Views
Habari zenu wana JF Naomba mnisaidie ni powder gani inafaa kwa Uso wenye ngozi ya kawaida kwani nilikuwa napaka nikipaka powder napata rashes . Powder nilizopaka ni: =Ponds =Royal =Mac =Family...
2 Reactions
5 Replies
8K Views
Salama wadau? Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie. Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Ni nani huwadanganya enyi wanawake yakwamba eti kujichubua ndio unakuawa mrembo na mwenye mvuto? Kiukweli ewe unayechubua ukikutana na mwalimu wa sanaa yaani nipishe na upite mbali kabisa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom