wakuu habarini.nimeamua kuachana na lotion na kuanza bidhaa za asil.nilianza kutumia mafuta ya almond kwel baada ya siku kadhaa,,niliona mabadaliko ngozi yang ilianza kubadilika kuwa lain ila cha...
Wakuu habari za weekend.
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Kutokana na mdogo wangu kuwa na chunusi za muda mrefu imepelekea USO wake kubaki na alama na makovu ya chunusi. Je ni njia ipi...
Habari zenu wazee baba
Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti.
Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani...
Hapo zamani za kale, wengi waliamini kuwa mvi ni dalili ya kuwa na hekima na pia mvi ni kiashiria cha uzee!
Wale waliopata mvi mapema ujanani wengine waliambiwa kuwa hizo ni 'mvi za ukoo'! Kitu...
Wanajukwa,
Kumekuwepo na wimbi kubwa sana la wadada na wa mama kupendeza (kunawiri) siku hizi za miaka ya 2000 hadi sasa ukilinganisha na miaka ya 1980s, 1990s hadi 2000.
Nini siri ya urembo wa...
Ukiondoa wale ambao ni kama ugonjwa ila kwa wengine mliobaki ni uchafu na kutojijali.
Unakutana na bint mzuri kajipamba mwenyewe wanja , shedo , wigi , mikope na mikucha ya bandia, lakini...
Kufuga hizi nywele yataka moyo kwelikweli. Zinakera na kuujaza moyo hasira unakuwa mtu wa stress pasipokuwa sababu!
Kibaya zaidi huwezi kugundua kwamba ndizo zinazokupa stress hadi siku ukinyoa...
Nafikiri kwa kifupi tu.
Naambiwa akina dada miili yao ni sensitive yaani ukimgusa mdada hasa sehemu fulani za maungio ni rahisi kupandwa na ashki..
SASA SWALI LA KUJIULIZA...
Hivi ni kwanini...
Mke wangu ana vipele vingi usoni na ameshauriwa na wingi atumie sabuni ya zoazoa. Wasiwasi wangu ni isije ikamchubua akaanza kuwa mweupe.
Wadau, kabla hajaanza kuitumia ningependa kujua kama hii...
Wanawake wanapata tabu sana kujikubali miili yao mpaka kuingia katika vishawishi vya kutumia dawa za kichina au kwa wenzetu nchi zilizoendelea kama marekani hufanyiwa operesheni au surgery...
Shostito kapita hapa yaani hata hamu ya kumwangalia imekatika gafulaa...perfume ya leo in harufu ka ya mkojo..full kichefu chefu
NB: Jifunzeni kuchagua perfume, perfume sio nzuri ka wewe...
Hupunguza nguvu zakiume kwa kiasi kikubwa ........
Soma kwa umakini point number 5 iko ktk red ink
Now read this
14 ways to naturally Increase your testosterone
1. Get more Zinc
Zinc is...
Visit: YNS.apg-ea.com
Call: 0736 937 937
We are offering short courses and workshops in Fashion Design, led by Yvonne Njau. Yvonne is a Tanzanian Fashion Designer studying in IFA Paris, France...
Heshima wakuu,
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha.
Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa...
Nimetokea kuwa mpenzi sana wa kupiga dongo...kupiga kipara..kunyoa kipara. Na hii ilitokea baada ya kugundua kuwa kuna vitu flani vya kijinga ila vinavutia sana na sana sana upande wa akina dada...
Kwa nini waafrika wanajibadilisha rangi?
Mitindo ingekuwa na maendeleo kiasi gani bila uwepo utumwa na ukoloni?
Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na...
BAADHI ya wanaume nchini wanatajwa kuwa kichocheo cha wanawake kutumia vipodozi vyenye viambata vya sumu ambavyo vimekuwa vikiwapa madhara ya ngozi.
Hayo yalielezwa Dodoma jana na Meneja wa...
Kiatu cha OXFORD (the oxford shoes) ni viatu ambavyo vimetokea kupendwa dunia nzima , vikitofautina kidogo na DERBY SHOES .
Sehemu ya kwanza kuonekana aina hii ya viatu ni Scotland na Ireland ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.