Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Imebidi niulize sababu nimejikuta nywele zimenyonyoka Kama nimenyolewa, banda ya kuweka curl baada ya miezi mitatu nikaweka DAWA ya movate ili nilainishe nywele coz nilikuwa nataka Kusuka yebo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
No shave November, Nini maana yake? Dunia ina mengi.... Hiki ni kipindi cha mwezi mmoja wa kumi na moja ambapo wanaume huweka utaratibu wa kuachia/ kutokunyoa ndevu zao kwaajili ya la kusave...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari. Kwa wale mliotumia haya mafuta naomba mrejesho maana nataka kiyatumia.
0 Reactions
44 Replies
35K Views
Wanabodi nawasalimu sana! Mi nimeshazeeka. Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
Nahitaji kujua wanawake wanavutiwa na rangi gani
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kinauzwa $17million. Kimetengenezwa na gold, patent leather, silk, na kupambwa na 236 diamonds. 15 carat flawless D-diamond center piece at the tip of each shoe. Viko Dubai, ukihitaji Info zaidi..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha mada kinavyo eleza hapo juu sijawahi hudhuria interview yoyote hata ya ulinzi shirikishi kifupi sina experience yeyote kuhusiana na interview. Mimi ni muhitimu wa chuo fulani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kuna kitu kimetushinda wababa wengi ni kujua mkeo anataka nini hasa kwenye ishu nzima ya mitindo ya nywele za kusuka, hebu pata darasa la bure hapa mitindo michache ili usibabaike shemeji...
8 Reactions
30 Replies
21K Views
Habari za jioni ni mafuta gani mazuri ambayo upakwa kwenye ndevu zikawa na muonekano mzuri
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Wakuu, Kuna watu huwa wanatumia nguo za ndani kwa muda mrefu bila kununua mpya. Kiafya, nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu baada ya kuinunua, kisha itupwe au ichomwe moto...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari zenu jamani,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa...
6 Reactions
93 Replies
17K Views
Habari za asubuhi Wakuu. Bila ya kupoteza wakati nijikite kwenye mada tajwa hapo juu. Ni asubuhi iliyonjema kabisa kila mmoja wetu akiwa na pirikapirika yake ya kujitafutia riziki ya kila siku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi baadhi ya wadada huwa wanafanya nini na hizi ball dresses baada ya shughuli maalum?! Huwa wanauza ama?!, maana kuivaa nguo kama hii mara mbili wadada wa mujini huwa wanadai "it's cheap"
10 Reactions
41 Replies
7K Views
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali. Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine...
14 Reactions
151 Replies
13K Views
Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania. Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama...
2 Reactions
70 Replies
29K Views
Kama kuna mtu amewahi kutumia hizi bidhaa tafadhali Jee ni kweli zinafanya kazi mwilini? Jee zinang'arisha ngozi? Kuna mtu amewahi kutumia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
World News Queen Elizabeth Makune is Miss Tanzania 2018 By Missosology - September 10, 2018 0 232 Queen Elizabeth Makune was crowned Miss Tanzania 2018 during the finals held September 8 at the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii biashara ya kupaka kucha na kuosha miguu wanawake kwakweli ina maswali mengi??? 1.Kwanini wanaofanya kazi hii wengi ni wanaume tu?? 2.Ama kuna Jambo lingine muoshwaji anapata mbali na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom