Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Nina siku kadhaa tangu niache kuogea sabuni. Maji yenyewe haya ya kisima, ukioga unajikuta umepaukaa. Katika kujaribu jaribu kuboresha hali ya bafuni, nikaanza kuogea backing powder! Weee, the...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari,naomba ushauri nivae nguo rangi gani,Viatu gani,ninyoe style gani ili nipendeze? Muonekano wangu mwembamba kiasi,sio mrefu sana,mweusi, nitashukuru Sana
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu PM nimeshindwa hata kumjibu Siku hizi kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni. Maana kuna wimbi la wanaume na wanawake...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
_
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Who knew that being a convicted murderer could land you the esteemed title of “Miss Jail,” an award doled out by the Racife, Brazil women’s prison? The yearly contest is based on beauty, knowledge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28797&d=1304245651&thumb=1&stc=1
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Hii mitindo inayokuja ya kinadada itatusababishia ajili nyingi sana au tutengenezewe miwani zenye side mirrors
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu mdada anaitwa Gracyane Barbosa ni mrembo wa kibrazil amejikita kwenye udansa na mazoezi yani fitness model. Je, ni sahihi kwa mwanamke kufanya mazoezi na kuvimba kama hivi? Gracyanne...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
IMEKUWA ni kawaida kwa akina dada wa siku hizi kupenda kuwa na makalio makubwa kwa kile wanachoamini huchangia kuvutia wanaume. Huenda kuna ukweli juu ya madai hayo ingawa bado hakuna utafiti...
0 Reactions
14 Replies
48K Views
Jamani mi napenda sna perfume, tena sana. I have many diffrnt prfumes in my wardrobe. My favourite ar : 212 sex by Caro Herera : Midnite fantansy by Britney Spear : Glow after dark by J.lo ...
2 Reactions
128 Replies
53K Views
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa gagulo ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa. Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa gagulo kama...
2 Reactions
72 Replies
23K Views
Habari wanajukwaa la urembo na utanashati. Nikianza na wanaume hasa wale ambayo tuna rangi ya mtume kutoka dubai na Beards sehemu za usoni tumekuwa na changamoto hasa tunaponyoa hizi...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
  • Poll Poll
Tafadhali chagua!
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu nisaidien hili tatito huwa nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni baaz ya sehem chini y jicho huwa pana washa kias flan tatizo n nin et?
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Bei ya nywele za crotchet ni sh ngapi? Normally ina range vipi na bunda ngapi litatosha kwa kawaida, kwa wale ambao mnazisukaga hizi na bei ya kusuka ni 30,000 au wamenichuuza?
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Wadau ghrama za wastani za kubadilisha maumbile ni kati ya dola 4,000 hadi dola 5,000. kwa maelezo zaidi ya kimombo tafadhali pitia hapa chini. ===== What is the cost of buttock enhancement...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu na wakubwa shikamooni Naomba niende kwenye mada. Hivi vioo vya kwenye magari(hasa vya madirisha), vya majumbani (ambavyo nyumba nyingi tumezoea kuviona), vioo vya kwenye...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Salam ndugu zangu. Kuna mtu unamkuta mchafu, nguo chafu, anakolala kuchafu, meno machafu, anapenda kukaa sehemu chafu, anapenda kula kitu kichafu, anapenda kuoga maji machafu, masikioni mchafu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za mchana waungwana, Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake... Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani... Kudos kwa...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama. Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu. Pia kama ni suala la...
4 Reactions
96 Replies
15K Views
Back
Top Bottom