Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.
Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana...
Habari za mda huu sasa kuna ttz moja huwa linanisumbua nywele zangu hazikui kabsa yaaani lkn nimejrb kutmia dawa ya kuza bado ziko hivyo hivyo ombi langu kwenu kama kuna mtu anajua dawa nyngn za...
Kuna maelfu ya perfume madukani, lakini sio perfume zote ni nzuri kwa kila mtu, kwa hiyo ni muhimu kuchagua perfume ambayo itamfaa mtumiaji ili kuepuka disappointment.
Perfume unapoinusa...
Mahitaji
Mchele nusu kikombe
Nyanya moja
Baking powder
Saga mchele upate unga ,changanya na vijiko viwili vya baking powder ponda nyanya nayo changanya huo mchanganyiko jipake kwenye kwapa...
Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona...
Salaaam
Moja kwa moja kilicho nifanya niandike Uzi huu
Ni hii hali au tabia ya wadada wanao tumia mikorogo yaan mafuta ya kujichubua ngozi
Unakuta mdada alikua mweusi Kama chungu cha maharage...
Tui la nazi lina protini na mafuta ambayo vitasaidia kope zako kukua na kuwa ngumu zaidi. Matumizi ya mara kwa mara ya tui la yatasaidia ku-nourish na condition kope zako.
Weka tui la nazi katika...
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku nzima. Naomba kujuzwa juu ya hizi nywele za kipilipili. Je zinakuwa za kurithi(zipo katika genes zetu)? au lah.
nimeuliza hivyo kwa sababu binti yangu (2...
FAshenista wanaiita LBD(Little black dress)
mwanamke yyt anayependa kwenda na wakati lazima awe na gauni nyeusi kwenye wardrobe yake!
Gauni jeusi huweza kuvaliwa popote pale,sio kila mtoko...
Kwenye matukio maalum watu wanpenda kupendeza, wanapenda waonekane wamependeza mara nyingi watu hupendelea kuvaa vazi la suti ili kupendezesha zaidi muonekano wao.
Lakini suti sio vazi...
Je wajua kuwa licha ya kuwa manukato/uturi, pafyumu (perfumes) zina faida kadhaa kimwili ikiwa ni pamoja na tiba? Fahamu faida 8 za pafyumu
1. Ni tiba ya kutumia harufu (aromatherapy)
2. Harufu...
Wewe Dada wa Oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya Oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa
Kwa taarifa yako hata kama mtu angesoma hasomi sasa, nani anamuda wa kufungua...
Jaman eehee,
leo jumapili ndo siku ya kufanya maandalizi ya kesho jumatatu sio muda wa kuzungukaa mji mzima,
Basi jaman mkumbukeni kufuaa vijupi na visidiria kwa wanawake wennzangu na wale wavaa...
Kina dada naombeni msaada wenu, chupi nzuri za kike za pamba nazipata wapi hapa mjini Daslam.
Nataka kumnunulia mpenzi wangu chupi nzuri na bora kabisa ziwe zinanitunzia asali yangu...
Swali la kizushi hivi imetokea umevaa underwear, unataka kwenda mahali ukajicheki kwenye kioo ukaona haijakupendeza ukaivua je utaiweka kwenye underwear safi au itabidi uifue kwanza?
Unawezaje kumfanyia mtu makeup ya hovyo hovyo kwenye harusi yake jamani siku muhimu ambayo anatakiwa kupendezaa haswaaaa hadi muoaji akimuona anamsahau
Mabibi harusi weusi mnawakoseaga sana...