Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mambo zenu rafiki
2 Reactions
9 Replies
868 Views
Naitwa Stein Junior, niliingia JF since last year mid 2017. But sikuwahi kujitambulisha wala kupata ukaribisho. Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa. hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia...
0 Reactions
8 Replies
806 Views
Nigan JF user Aisee mm humu nimgeni ndio kwanza nimejiunga !! Nilitaka kulisongesha katika idara za business,Mapenzi, siasa na mambo mengine ya kijamii!! Naomba ushirikiano na tupeana Raman Kama...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo vip wana JF
0 Reactions
3 Replies
596 Views
Mimi ni mgeni mwenyeji,nimekuwa mfatiliaji mzuri wa jf,hivyo nikaribisheni
0 Reactions
4 Replies
849 Views
Kwa heshima na tahadhima napenda kuwasalimu kama ifuatavyo, mliokula chuvi nyingi shikamoni, mliokula chache kwemaa?, Mimi ndionimeingia rasmi ktk hili jukwaa. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Habari zenu ndugu, na furaha kubwa kujiunga na Great Thinkers (Jamii Forum)...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mimi ni mgeni naomba kukaribishwa
0 Reactions
5 Replies
688 Views
nawasalim wanajamii mlio humu, natumai mtanipokea kijana wenu na kujifunza mengi kutoka kwenu.
1 Reactions
3 Replies
904 Views
Mimi nimgeni hukundani naomba ushilikiano wenu
0 Reactions
8 Replies
849 Views
[emoji185]
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Toka nijiunge nna wiki kadhaa cjawah fika huku naishiaga huko kwenye ukumbi wa intelijensia leo ndo nashtuka kumbe kuna utambulisho. [emoji23][emoji23] #DodomaBoy Inakuwaje jmn? Tuko pamoja.
0 Reactions
4 Replies
561 Views
jamani kwema huku? hodi,nikaribishen!!
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Nilipotea baada ya uchaguzi mkuu kwisha,
0 Reactions
11 Replies
898 Views
Mimi ni mgeni humu wakuu, nawasalimu tu..
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hodiiiiiiiii mimi Kisandu Junior kitukuu cha Nalimi Kisandu nimekuja kujiunga rasmi na nyinyi .
3 Reactions
11 Replies
861 Views
Mimi mgeni naomba mnipokee
2 Reactions
7 Replies
647 Views
Mwanamapinduzi kindakindaki mie hiding him ndani
0 Reactions
1 Replies
428 Views
[emoji8] nawapenda wote
0 Reactions
4 Replies
646 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…