Hellow ndugu zangu mambo vp? Nimehama fb kwa watu wanaoropoka bila kushirikisha fikra zao na ni mara ya kwanza kujiunga na wana JF wenzangu nawapenda sana. Tupo pamoja wajameni
Mimi nimejiunga hapa JF kama wiki mbili hivi zimepita kwa ujumla nimefurahia maisha ya hapa jamvini
Nitakapo kosea basi naomba msisite kuniweka sawa asanteni
Kawaida ya wageni wastaaribu wakifika mahali hasa kwa jamii ya watu tofautitofauti ni lazima wajitambulishe,jina langu kama mnavoliona.
Wadogo zangu,wajukuu zangu na msiokubali udogo naombeni...
Jaman mm naitwa gidion Christian naishi mwanza ni Mara yangu ya kwanza kuingia humu jf ni nzuri kiukwel nimeipenda naomba kushirikiana nanyi kulisongesha gurudumu la maendeleo kwa namna...
Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na...
Habari zenu wananzengo?
Ni memba mpya hapa naitwa MAGAYE kitambo sana, nilikuwa nafatilia mijadala mbalimbali humu, ila sasa nimeona ni vyema nami nikajumuika ili nifaidi zaidi.
Natumaini...
julius Nyerere alikuwa mwl akaukimbia kuelekea siasa anafanyiwa, Rais John Magufuri alikuwa mwalimu akaukimbia kuelekea siasani ndio huyoo kaula, waziri mteuliwa Kasimu Majaliwa alikuwa mwalimu...