habarini wana Jf wote, ningependa kuomba kujitambulisha rasmi ndani ya Jamiiforums.
Tushirikiane katika kuchangia mawazo juu ya maada zitakazowekwa mezani!!
Mungu awabariki.
Hodi humu ndani kwa Waungwana wa JamiiForums.
Nategemea kupata mambo mengi mazuri kutoka kwenu wadau na mimi nawaahidi ushirikiano mkubwa toka kwangu kadri jinsi Bwana Mungu atakavyoniwezesha...
Wakuu habari! nimekuwa msomaji mzuri na wa muda mrefu sana wa jf, ila sasa nimeona ni muda muafaka na Mimi nikashirika moja kwa moja badala ya kuishia kusoma tu! naomba ukaribisho wenu!! Naomba...
Chumba cha kupanga kinapatikana maeneo ya mission mbagala!ni kizuri kina umeme,na huduma ya maji pia!ni kizuri kwa anayeanza maisha!hatubagui jinsia yeyote unakaribishwa!mawasiliano 0757524428,be...
Kuuliza sio ujinga mm mgeni jf..nauliza kwamba mitandao mingine ya kijamii fb wasp..nk. Mtu anaweza kuunda group je! Na humu jf naweza kuunda group..!!!!
Habari wakuu,
Naitwa Nyosso, nimeamua kujiunga na mtandao huu ili tuweze kubadilishana mawazo. Kama jina langu lilivyo, ukiniletea fujo nina kuNyosso kama kawaida.
NYOSSO