Hodi hodi humu ndani kwa shairi naingi, salamu kwenu wapendwa wakubwa hata wadogo. Nakuomba Maulana bariki waanzilishi, hongera jamii forums kwa elimu burudani.
Siku saa zimepita dakika hata...
Hello, ninaishi Norway na nimejifunza kiswahili kwa takribani miezi sita. Niko hapa kuboresha kiswahili changu, na kushiriki katika majadiliano ya kuvutia. Nimefurahi kuwa hapa na ninyi...
Mimi ni kijana mdogo ktk harakati za maisha hapa na pale huwa nafikiria kufanya kitu tofauti ktk maisha angu lakin sipati mwanga ....nsaidien wana jf tafadhal.
Habari za asubuhi wanajf,mm ni mpenzi sana wa jf ila siku zote nilikuwa msomaji tuu wa post za wengine.Naomba kukaribishwa rasmi ili niendelee kuifurahia na kujifunza mengi kutoka kwenu wapendwa...