Wenyej heshima zenu jamani
BOGABICHI nabisha hodi
Nimevutiwa xana xana tena xana kwa elimu na burudani niipatayo humu wenyej nawaheshimu xana pia naheshimu mawazo na hisia zenu
NIKARIBISHENI...
Mara nyingi nimekuwa nikijifunza humu kwa kuangalia post za wakuu zangu,sasa nimeonelea n bora kuingia kabisa il nijfunze zaid kwa kuulza pale inabd asanten naomba mnipokee
habari!, Wenzangu kwema humu?, hakuna ubaguzi kwa majadliano?, tunatakiwa kuwa marafiki, kujadili bila ubaguzi wala matusi, mambo ya maendleo yazungumzwe zaidi, kujikita kwenye mambo muhimu katka...
Waungwana,hasa wale walolewa ktk makuzi ya kiafrika,yenye mila na destur poa..haswa watanzania wenzangu,ambapo ukiwa na shida hauulizwi kabila lako nan,bal utaxaidiwa kwanza stor baadae..!
huwa...
Nawakaribisha wanajamii forum wanaokaa Nairobi ili tuweze kukutana na kupeana mawaidha live. Nimekaa hapa Nairobi kwa muda sasa lakini sijawahi kukutana na mtz aliyeko kwenye jamii, kila...