Hodi wenyeji. naomba nijiunge nanyi. Natokea Kagera. Ila niko Moro kama kuna lolote natakiwa kufanya naomba nieleweshwe nisije nika over do au under du
Hodiiiiii janvini, ni mgeni jamani, naomba mnipokee na kusamehewa kama ntakosea, mwanaume by jinsia, m2 wa kusini. Ila naamini janvi ni la watanzania wote... Asanteni.
Mgeni mie sina hadabu nabisha hodi wakati nshaingia tatizo wenyeji mmeacha mlango wazi.....ila sio kesi wenyej hamjambo me nshakuwa mwenyeji japo s sana ..hii linki ya utambulisho nilikuwa...
Ndg wanajamvi wote mm ni mwanachama mpya hapa JF niliyejiunga rasmi tarehe 19/12/13. Nimejiunga JF kwa lengo la mm kuchangia mawazo yangu katika ile Tanzania ninayotaka kuiona miaka 25 ijayo na...
Wana JF, Heshima kwenu
Wakubwa Shikamoni, Wadogo habarini za Saa unaponisoma, WOTE KIMYA HILO NALO NENO.
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kama mgeni kuwaangalia waliosajiliwa jinsi...
Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kujiunga nanyi humu.kwa ma great think..
nawaomba mnipokee na pia tuishi kama ndugu kwa upendo na umoja bila kujali itikadi zetu...
Asanteni sana na Mungu wangu awabariki
Habari zenu wana jf, jamani ndo kama muonavyo hivyo nabisha hodi mimi ni mgeni humu ndani katika hili jukwaa. Hivyo natumaini tutakuwa pamoja katika kuchangia hoja pamoja na kubadilishana mawazo...