Wakubwa shikamoo nyote na walio wadogo Marhabaa!
Kwa heshima zote ninawaomba mnikaribishe humu jamvini!; kama ilivyo ada pale ninapokosea msiache kunifundisha na ninapoefanya vizuri basi msiache...
Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania...
hodi jamani humu jamvini!ni matumaini yangu tutashirikiana katika hoja mbalimbali ili kutafuta suluhu juu ya maswali kadha wa kadha yanayotutatiza watu wote!
Habari za asubuh wandugu mi ni mgeni ndio nimejiunga leo kwa heshima na taadhima naomba mnipokee kwa mikono miwili ni hayo tuuu,,,nawatakia siku njema na asubuh njema
Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni...
Hello hello Wanajamiiforum. Ninabisha Hodi tena kwa mara nyingine. Nilikuwepo miaka ya nyuma ila niliondoka kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. It is my expectation that all of you will say...
Nadhani ndugu zangu tunajua kwamba bila umoja hakuna litakalowezekana katika haya maisha na sidhan kama nijambo la busara kufikiria kuvunja muungano wetu..Nadhani ndio sababu ya Muumba wa dunia...