Hatimaye nami nimekuwa member wa JF. Nawashukuru sana member mlionitangulia kwa kuleta thread zilizo makini na zinazoguza nyanja mbalimbali. Nawaomba mnipokee mgeni wenu.
nimekua nikifuatilia mikasa, ushauri, habari, na matangazo mengine hapa jf kama mgeni, lkn leo nimeamua kujiunga rasmi kenye hili jukwaa kama member. Naomba wanajamvi mnipokee kwa mikono miwil...
bila kushawishiwa na aidha mtu fulani,watu fulani,chama fulan au kikundi fulani,nimeamua kujitosa rasmi humu kwa ajili ya mambo fulanifulani,akina fulani nikaribisheni basi ili fulani anijue mimi...
Habari ndugu zangu, mimi ni mmoja kati ya wapenzi wakubwa wa jf. Navutiwa sana na midahalo ya humu ndani. Naomba mnipokee qa mikono miwili nami nipate kushea mazuri na kujifunza mengi yaliyomo...