Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
ngo, ngo, ngo,,,
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Habari zenu wadau wa JF. Mimi ni mgeni hapa jamvini nawaomba mnipokee kwa mikono miwili. Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
703 Views
Naingia kwa mara ya kwanza naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
531 Views
Hi guyz, me mgen humu ndan plz show me the way!!
0 Reactions
4 Replies
745 Views
Jamani na mimi naomba kujiunga na nyinyi nipokeen jaman natanguliza ahsante kwa wote
0 Reactions
6 Replies
753 Views
Naomba ukaribisho wenu enyi ma-GT ili na mimi niwe miongoni mwenu ktk kulisukuma gurudumu hili la jf ili lisonge mbele, mbele zaidiiiii!
0 Reactions
8 Replies
864 Views
Habari wana JF?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hellow
0 Reactions
5 Replies
842 Views
Nawasalim nyote wanna JF mlio mstari wa mbele kuhakikisha maslahi ya nchi kwanzam mengine yafuate naomba nitambuliwe uwepo wangu. Shukran
0 Reactions
6 Replies
886 Views
hellooooooooooo
0 Reactions
4 Replies
651 Views
naomba mnikaribishe ndugu zanguni
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Habari zenu ndugu zang? Nnafuraha kujiunga nanyi wandug ili tujumuike pamoja ktk kujali mambo yatakayo kuwa na tija kwetu,naomba ushirikiano wenu,.AHSANTEN.
0 Reactions
7 Replies
948 Views
Habarini bandugu, mi mgeni humu nahitaji ukaribisho wenu kwan nimevutiwa sana na hili gurudumu kwan linaenda kasi. Ivyo basi nami najitolea guvu...
0 Reactions
7 Replies
677 Views
Jamani na mie mwenzenu wana jamii!
0 Reactions
12 Replies
986 Views
Naamini nami ni mmoja kati ya watanazania wapendao maendeleo na taifa letu,habari zenu watanza wenzangu......
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mnikaribishe ndugu zangu hapa uwanjani
1 Reactions
6 Replies
943 Views
niwashukuru wana jaii kwa jitihada za kuelemishana na kubadilisha na mawazo katika kila mada hasa zinazohusu demokrasia ya nchi yetu. Niwasihi kuwa tutumie uhuru wa kutoa huu wa kutoa maoni...
0 Reactions
5 Replies
825 Views
jamani najitambulisha ingawa niliingia jf moja kwa moja kwenye majukwaa mengine ya siasa na nk nikasahau kujitambulisha!!!! naomba mnipokee wana jf
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Hi,
Mhmhmh kumbe!, nambie ma friendz wiz mko pouwaaaa
0 Reactions
5 Replies
872 Views
Back
Top Bottom